BABU KIDUDE
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,587
- 916
Mambo vipi Wana Jamii...... back to the Point, mimi nishapita umri wa ujana. nipo jiji hapa, nimetembea tembea sana
Mambo vipi? Wana Jamii. back to the Point, mimi nishapita umri wa ujana. nipo jiji hapa, nimetembea tembea sana Mbeya, Arusha Moshi Dodoma Mwanza na Tanga PLUS Unguja na Pemba kikazi, katika kutembea kwangu mikoa tajwa nimevutiwa sana kuishi jiji la Tanga kwa kweli ni kamji flani kametulia.
Ni mwajiliwa kwenye kampuni flani binafsi na hatuna Branchi mkoa tajwa nimewaomba sana maboss tufungue branch nikimendea uongozi kwenye brach husika bila mafanikio but bado nina ndoto ya kuamishia maisha yangu mkoa huo, Msaada biashara gani nikifugua mkoa huu na wilaya zake 6 itaniwezesha kuishi na kutimiza ndoto zangu za Kuishi mkoa huo , wife wangu mtu Moro hana tabu Tushakubaliana Tuamie huko yeye ni mfanyakzai wa serikali najua tweza pata uamisho japo kwa mbinde sana.
Naomba ushauri pia kuhusu Jiji lenyewe na changamoto zake.
Mimi Mmatengo Japo nimezaliwa hapa nimekulia japo niliwa kutoka nje ya mkoa kimasomo Tuu