Ndoto za kurudi Shule na Kijijini kwenu zina Maana Gani?

Ndoto za kurudi Shule na Kijijini kwenu zina Maana Gani?

Kwanza kishasema "kama sijakosea" tunapaswa kukutilia shaka.

Pili unawezaje kutofautisha kati ya ndoto uhalisia na ndoto ndoto tu?
Ivi wewe unaelewa kweli? Nimekwambia ndoto zipo zaidi ya aina moja tofauti ipo kwenye hizo aina.
 
Back
Top Bottom