Ndoto zangu za kujiunga JF zimetia

Kwani umewaza nini....!!??[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bro jiheshimu bac..!Mbona we mtu mzima kabisa tunajifunza nini sasa kutoka kwako?!ikute una familia kabisa?!kosa langu nn kuomba kuelekezwa Ivo vitu kwenye thread au??Kama hutaki kunielezea ungekausha wakanielezea wengine ndo maana nimewataja wengi kina Mama sabrina,Mahondow,joka jeusi wangenielekeza sheria za humu
 
Kwanini mnakuaga wanafki kujidai ndio mmejiunga JF kumbe ni kubadili ID tu?

Kama ulitoswa na manzi humu ni kawaida tu endelea na ID ya zamani tu au fungua mpya kimya kimya sio unaleta mbwembwe zinazofanya wenye akili wakushtukie kuwa sio member mpya
 
Mbona ninaiheshimu sana chief...!!
Ama kwani weumeona nini mkuu wangu..??
Na kama kujifunza kwangu, nivyema ukakaa ukayachukua mengi mazuri na kisha ukayaacha machache mabaya.
 
Mbona ninaiheshimu sana chief...!!
Ama kwani weumeona nini mkuu wangu..??
Na kama kujifunza kwangu, nivyema ukakaa ukayachukua mengi mazuri na kisha ukayaacha machache mabaya.
Sawa Aikwereki
 
mimi hutaki nikusaidie?.
 
usituzuge mzee baba wewe ni zee la jf miaka hilo linajionyesha wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…