princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
- Thread starter
- #41
Shukrani sana mkuuKaribu sana JF mjukuu wetuu hapa kwa GT.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana mkuuKaribu sana JF mjukuu wetuu hapa kwa GT.
Hahahahah!!bac sawaMdogo angu fanya uoe mbona Adam alimuoa Eva hata shule hajaenda?
Njoo PM nikuelekeze achana na wachoyo hao.Ina maana hakuna kabisa Raia mwema yeyote wa kujitolea kunielezea nini maana ya izo PM,Avatar,Moderator,??
Jipu hili sio bureShikamooni wakuu,najua wote humu ni wakubwa kuliko mimi,,Naomba Niweke wazi furaha yangu ya kujiunga Jamiiforum tangia Nikiwa secondary miaka ile ya Uchaguzi mkuu uliomweka huyu Rais wa awamu ya 5 madarakani,,Jf ili nisaidia sana na inaendelea kunisaidia katika mambo ya kitaaluma hadi kesho hususani jukwaa la elimu na Lugha,,Humu kuna watu wana upeo mkubwa sana,pia Jf ni sehemu ya Elimu na ku-refresh mind pia cause never bored at all,OMBI langu naomba niambiwe maana ya hivi vitu:
Moderator,Avatar,PM,hasa iyo PM maana isije ikawa ni ufupisho wa jina langu Prince Mikazo,,,pia nna shida na hawa watu wanisaidie vitu fulani:
GuDume Gwenu Gwambegu,Mahondow,Miss chagga na Natafuta,Zero IQ,Never see Me,General Galadudu,Mama sabrina,Ushmen,Pascal Mayalla,Smart911,Numbisa.Joka jeusi....Wasalaaam
Mkuu iyo PM ndo nataka Fasili yake,lakn unasema nije PM!ntakujaje sasa akati sielewi ?isiwe tabu sio lazima but nashukuruni sana kwa ukaribisho wenu ingawa challenges pia hazikwepekiNjoo PM nikuelekeze achana na wachoyo hao.
Shukrani sana Mkuu ubarikiwe kwa ufafanuzi mzuri,,Kule Facebook vitu kama hivi havipo ndomaana nikaomba kujuzwa,,Naam kwenye coment yako Mwishoni umeandika "Cc"then uka mention jina la Member wa humu Mahondaw maana ake nn pia?PM... Private Message... ni wewe na yeye tu mnakutana huko na kuongea yenu pasipo kuonekana hadharani, ingawa mnaweza alika hata watu wengine kwenye maongezi yenu...
Avator... ni kikaragosi au picha inaweza kua ya kitu chochote kukuwakilisha au kukutambulsha...
Moderator... mtu anayeratibu na kusimamia shughuli zote za mahali hapo...
Cc: mahondaw
Hapana mkuuUna hitaji lingine?
Pamoja sana kiongoziKaribu sana mdogo wangu, kila kitu kitaenda sawa. Pamoja na yote ukifahamu huduma muhimu zinakopatikana,
Kama vile....
* Kusajili kampuni
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu,,Boral umesema wewe mkuu,umu watu wameshajenga fikra kwamba kila member mpya sio mpya ila kabadilisha tu ID,Hivi nyie wenye ukuu wenu humu,...kwanini kila mgeni akija badala ya kumkaribisha mmeng'ang'ana na hiyo hoja ya umekuja na I'd nyingine mara unaonekana mzoefu,ooh umejuaje kuquote mara sijui nini khaa!!!
Wengine tumekuwa watazamaji tangu zamani tumeshasoma mada nyingi.kwahiyo msishangae mtu kuwataja hao alowataja au kuwakwoti inategemea na uelewa wa mtu.all in all karibu japo me mwenyewe bado mgeni tu.
wanachosha bhana....AaaarrghhAsante sana mkuu,,Boral umesema wewe mkuu,umu watu wameshajenga fikra kwamba kila member mpya sio mpya ila kabadilisha tu ID,
Kwanini mnakuaga wanafki kujidai ndio mmejiunga JF kumbe ni kubadili ID tu?
Kama ulitoswa na manzi humu ni kawaida tu endelea na ID ya zamani tu au fungua mpya kimya kimya sio unaleta mbwembwe zinazofanya wenye akili wakushtukie kuwa sio member mpya
He should thank you for vouching for himMkuu huyo dogo ni mgeni JF nina uhakika %mia
He should thank you for vouching for him
Is there any costful to be a mamber in JF?
IS this real succes one among succesful in a life?
ngoja nikuache ila hongera kwa mafanikio
Sent using Jamii Forums mobile app