Ndugai acha kuwaona watanzania ni wajinga. Kama Hayati Magufuli alipotoshwa, wewe kama Spika kwanini haukumshauri?

Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.

Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.

Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania

Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?

Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Nyie hivi mnajua magu angemfanya nini?
 
Ndugai aliashatoa ushauri bungeni lakini alijibiwa na kusakamwa kama mwizi na wafuasi ikabidi akae kimya...
Kwa nini akae kimya kama alikua na mapenzi mema na tz angeachia ngazi ili tujue ni mzarendo na kama alikua hakubaliani na magufuli kwanini alikua anaongoza kusifia.
 
Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.

Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.

Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania

Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?

Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Unadhani mwendazake alikuwa anashaurika!!??
 
Mkuu,

Huyu sio kiongozi kwa manufaa ya wananchi ni muabudu fursa. Hakuna bunge lenye hadhi kama alivyosimamia Adam Mkwawa (RIP) na Samwel Sitta (RIP). Walipo wote ni wanafiki sana na ni wauaji huku wanakuchekea.

Wito wangu ni kwamba hojini kwa nguvu zote bila kukoma ni nani alimpiga risasi TAL, Ben Saa Nane yuko wapi nk kwa jinsi walivyo wasaliti wasio na aibu wataanza kutaja tu. Narudia anzeni sasa hivi kabla hamjapoteza mwelekeo mana huko mbeleni wanaenda kugeukana tena kama hawajuani wakikana kauli zao.
 
Alimpinga CAG msataafu prof Mussa Assad hadharani, ili asiwasilishe ubadhirifu wa serikali ya awamu ya 5. Swali fikirishi hivi mwendazake angelikuwa hai ina maana CAG asingelikua anadadavua matumizi mabaya ya awamu ya 5?

Kwa kifupi, Ndugai yuko katika mchakato wa kuhama toka genge la mafisadi wa MATAGA ambalo limeshazima kwenda kwenye genge linalofuatia ambalo ndio kwanza linajikusanya. Hii ni zamu ya nyani wengine kuingia msituni. ILA ...

CCM ni ile ile.
 
Kwa kifupi, Ndugai yuko katika mchakato wa kuhama toka genge la mafisadi wa MATAGA ambalo limeshazima kwenda kwenye genge linalofuatia ambalo ndio kwanza linajikusanya. Ni zamu nyani wengine kuingia msituni. ILA ...

CCM ni ile ile.
Umenikumbusha kujivua gamba
 
Mtu anajiita jiwe yeye anajua kila kitu na hashauriki ungekua wewe spika ungefanya nini na watoto wanakutegemea... Uliona kilichomkuta CAG ASAD kwa sasa kusimamia ukweli akakosa kiti chake
Wanao mlahumu Spika wanamuonea - JPM alikuwa ni binadamu ambaye hashauriki - sasa ulitegemea Spika angefanya nini au mlitaka yamkute yaliyo mkumba Profesa Asaad?

Kama nakumbuka vizuri, mwaka jana Mh. Ndugai aligusia kuhusu alivyo kwenda Uchina,akabahatika kukutana na lika la Uongozi wa China ambalo lilikuwa karibu na Mao na Nyerere ingawa wengi wao wamekwisha aga Dunia,walio baki walimshauri Mh.Ndugai kwamba ingekuwa vema kama Serikali ya Tanzania ingefanya juu chini kushirikiana na China kwenye nyanja za viwanda,kilimo na ujenzi wa infrastructure nyingine za kuendeleza Tanzania,nadhani waligusia hata ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo - mwishowe wakamkumbusha Mh. Ndugai kwamba Tanzania ifanye hima kabla kizazi cha Uongozi wa Mao hakija toweka kabisa - kwa kuwa kizazi hicho ndio wanajua vizuri uhusiano mzuri uliyo kuwepo baina ya Tanzania na China wakati wa utawala wa Mao na Nyerer, bado wana influence kwenye utawala wa sasa wa Serikali ya China - kizazi kipya mahusiano mazuri ya zamani baina ya China na Tanzania hilo hawalijui ie tilia maanani hata kidogo. Mh.Ndugai is right,tukiwatumia Wachina kwa weledi watatufikisha mbali sana kimaendeleo.

Namshukuru sana Mh. Ndugai kuwa na ujasiri wa kumkumbusha Mama Samia kuhusu umuhimu wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo - mradi huo utatuinuwa sana kama Taifa Sceptics notwithstanding. Msikilizeni Mh. Ndugai kama alifanikiwa kupewe copy ya mkataba wa ujenzi na uendeshaji wa bandari ya B'moyo basi aubandike hapa ili kuwakata ngebe wale wote walio kuwa wamepania kuhujumu ujenzi wa Bandari ya B'moyo.
 
Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.

Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.

Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania

Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?

Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Kama vile walikuwa wamefunikwa na turubai, Sasa limetolewa wanapata hewa safi na kuanza kuongea...

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.

Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.

Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania

Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?

Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Mkuu twende taratibu; wewe ugekuwa Spika Je ungethubutu kumshauri mwendazake kwa suala alilolipigia mstari mwekundu?

Mwendazake aliiweka mihimili yote kwapani mwake!! Katiba akaiweka kando akaanza kuongoza nchi aonavyo yeye inampendeza
Haya ndiyo madhara yake, dikteta akishakufa tu hata wapambe wake wa karibu mno humgeuka hata arobaini hajafikisha akiwa kaburini!
Mtoa hoja bado utasikia mengi, huo uwanjawa ndege Chatoh kaa la moto lingine - achilia mbali ununuzi wa ndege kwa cash.

Wapambe washamgeuka mita mia hana mtetezi kwa sasa!!
 
ndugai anatakiwa kuomba kwa Mola hekima na busara ktk maisha yake yaliyosalia hapa dunia kwani tofauti na hapo atakuwa ni mtu wa kudharauliwa hadi na mawe ambayo hayazungumzi.
haya yanaonyesha kukosa hekima na busara;
kupigana hadharani!
Kutoa siri za wabunge anaowasimamia hadharani!
 
Sasa kama aliona Mwenyekiti wake anapotoshwa na taifa linakosa manufaa kulikuwa na tatizo kumshauri? Yeye na wabunge wa Ccm walishindwa vipi ku kuwa na hoja bungeni juu ya manufaaa ya taifa?

Naamini unajua vizuri sana kuwa nchi yetu ingekuwa kama Marekani au Afrika ya Kusini au hata Kenya, unachouliza hapa kingeeleweka. Kinadharia, umehoji jambo la msingi sana.

LAKINI kiuhalisia, hapa Tanzania, Rais akishaamua jambo lake hakuna anayeweza au anayethubutu kuhoji na kumshauri vinginevyo. Halafu, fikiria, Rais mwenyewe ni Hayati JPM! Ndugai angethubutu kutoa ushauri mbadala, at best, leo hii asingekuwa mbunge achilia mbali uSpika. At worst, angekuwa ndani kwa kung’arisha pesa.

Kwa katiba tuliyo nayo na mfumo wa uongozi/serikali tulio nao ni wazi kuwa UNAFIKI utaendelea kuwa kigezo muhimu sana cha mafanikio kwa wale wanaotaka kufikia nafasi za juu za uongozi wa taasisi za umma.
 
Wanao mlahumu Spika wanamuonea - JPM alikuwa ni binadamu ambaye hashauriki - sasa ulitegemea Spika angefanya nini au mlitaka yamkute yaliyo mkumba Profesa Asaad?

Kama nakumbuka vizuri, mwaka jana Mh. Ndugai aligusia kuhusu alivyo kwenda Uchina,akabahatika kukutana na lika la Uongozi wa China ambalo lilikuwa karibu na Mao na Nyerere ingawa wengi wao wamekwisha aga Dunia,walio baki walimshauri Mh.Ndugai kwamba ingekuwa vema kama Serikali ya Tanzania ingefanya juu chini kushirikiana na China kwenye nyanja za viwanda,kilimo na ujenzi wa infrastructure nyingine za kuendeleza Tanzania,nadhani waligusia hata ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo - mwishowe wakamkumbusha Mh. Ndugai kwamba Tanzania ifanye hima kabla kizazi cha Uongozi wa Mao hakija toweka kabisa - kwa kuwa kizazi hicho ndio wanajua vizuri uhusiano mzuri uliyo kuwepo baina ya Tanzania na China wakati wa utawala wa Mao na Nyerer, bado wana influence kwenye utawala wa sasa wa Serikali ya China - kizazi kipya mahusiano mazuri ya zamani baina ya China na Tanzania hilo hawalijui ie tilia maanani hata kidogo. Mh.Ndugai is right,tukiwatumia Wachina kwa weledi watatufikisha mbali sana kimaendeleo.

Namshukuru sana Mh. Ndugai kuwa na ujasiri wa kumkumbusha Mama Samia kuhusu umuhimu wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo - mradi huo utatuinuwa sana kama Taifa Sceptics notwithstanding. Msikilizeni Mh. Ndugai kama alifanikiwa kupewe copy ya mkataba wa ujenzi na uendeshaji wa bandari ya B'moyo basi aubandike hapa ili kuwakata ngebe wale wote walio kuwa wamepania kuhujumu ujenzi wa Bandari ya B'moyo.
Mkuu hivi unawajua wachina vizuri au una wasikia radioni hao watu hafai kabisa wana roho mbaya sana,pia wanatuzarau sana sisi weus pia hawamjui mungu kwao pesa ndio kila kitu usikute huyo ndungai walisha mkatia fungu lake ili ajaribu kushawishi,sisi tunao wajua hao watu hatuwezi kua upande wa ndugai hata ck moja ni watu wa hovyo sana usiwa amini kabisa au wewe ndio ndugai unajaribu kujitetea hapa.mm siitaki tena ccm kuanzia sasa hivi nakiunga mkono chama chochote cha upinzani chenye kuonyesha umakini,hata hivyo toka uhuru ccm tu nimechoka.
 
Waache wamkane tu ndio Safi Sana karma ipo kazini inatenda kazi yake

Yule mzee alikuwa mshenzi mnoo
 
Ni kawaida yetu kuponda kila uongozi uliopita, hata kipindi kile anasifiwa wenye akili tulijua kinashangiliwa cheo tu sio yeye.... walijua anapenda nini.

Wenzake waliokuwa hai walipondwa kwa staha, kwa kuwa wapo wanasikia... huyu kaenda zake atapondwa zaidi na zaidi.

Ni zamu ya mama kusifiwa, mjuzi wa kila kitu... kesho yake itafika na atapondwa kweli kweli.

Tujifunze, Tujiandae.
 
Back
Top Bottom