Ndugai acha kuwaona watanzania ni wajinga. Kama Hayati Magufuli alipotoshwa, wewe kama Spika kwanini haukumshauri?

Ndungai ana tofauti na Kigwa, anatudhalilisha watu wafupi
 
Yaani najiuliza hawa watu ni wajinga kiasi gani? Sasa ndo najua kwa nini magufuli alikuwa akifanya kazi hata ambazo alitakiwa kufanya mtendaji wa kata.

Ni kwa sababu alijua anaofanya nao ni wajinga analazimika kufanya kazi mwenyewe.

Yaani wote ni wachumia tumbo hatuna wasomi wazalendo jitu linaangalia tumbo lake.

Hawa hawa ndo alifanya nao kazi kwa ukaribu leo ndo wako mstari wa mbele kumponda.

Kifo ni fumbo kama marehemu angekuwa anarudi kuwa hai duniani jpm tungempa kura za kumwaga akasafishe huu upuuzi unao endelea.

Mm ninachojua msomi anaetambua kazi yake lazima asimamie haki, bora utumbuliwe lakini kwa kusimamia haki

Sasa unajiuliza magufuli alikuwa mbovu mbona walimsifia kwa nguvu zote? Mbona walimshauri kwa nguvu zote? Hawakuwa royal kwake hawa waganga njaa.

Hata mponde vipi kisa ashakufa magufuli ni mwanaume wa shoka asiemuogopa yeyote. Kwa mtu yeyote mwenye akili ambae hatangulizi tumbo mbele anajua kuwa magufuli ni shujaa.

Watanzania wanapenda kudekezwa wafanye wanachotaka wao.bure kabisa

Rip jpm
Yani kuna mambo ukiyasoma huwezi amini JPM alikuwa na watu pembeni yake, matumbo haya yanafanya watu washindwe kutumia taaluma zao. Nchi ya kindezi sana hii.
 
Nina hasira sana hii ni mijitu ya aina gani aisee?
 
Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.

Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.

Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania

Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?

Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Ili kuthibitisha kuwa marehemu alipotoshwa, spika aite press conference aweke wazi ukweli wa mambo na mkataba ulivyo, kisha mkataba huo uwekwe wazi ili wataalamu wa mambo ya mikataba watusaidie.
 
Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.

Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.

Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania

Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?

Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Nani alikuambia speaker ni mshauri wa Rais? Huoni yeye anawashauri wabunge ndio washauri? Yeye anakaa kama umpire (neutral part) kwenye mijadala yote Ila anaweza kuchomekea maneno tu sababu bunge letu ni adversary oriented.
 
Alisema mwenyewe alienda China 🇨🇳 na wakamweleza kwa kina, bila shaka alipewa bahasha huyo jinga.

Anadhani atawawin watz, wakati anamaujinga kibao kama wale covid19 wa chadema, kumrudisha Mwambe bungeni wakati hana chama cha siasa, kumfukuza TL Bungeni wakati anaumwa.

Unafiki wa Ndugai bora kuishi na ibilisi
 
Asingeweza...

Neno la mwenyeketi ndiyo lilikua la mwisho upinga wewe nani? Yani kama nani...
 
Yaani najiuliza hawa watu ni wajinga kiasi gani? Sasa ndo najua kwa nini magufuli alikuwa akifanya kazi hata ambazo alitakiwa kufanya mtendaji wa kata.

Ni kwa sababu alijua anaofanya nao ni wajinga analazimika kufanya kazi mwenyewe.

Yaani wote ni wachumia tumbo hatuna wasomi wazalendo jitu linaangalia tumbo lake.

Hawa hawa ndo alifanya nao kazi kwa ukaribu leo ndo wako mstari wa mbele kumponda.

Kifo ni fumbo kama marehemu angekuwa anarudi kuwa hai duniani jpm tungempa kura za kumwaga akasafishe huu upuuzi unao endelea.

Mm ninachojua msomi anaetambua kazi yake lazima asimamie haki, bora utumbuliwe lakini kwa kusimamia haki

Sasa unajiuliza magufuli alikuwa mbovu mbona walimsifia kwa nguvu zote? Mbona walimshauri kwa nguvu zote? Hawakuwa royal kwake hawa waganga njaa.

Hata mponde vipi kisa ashakufa magufuli ni mwanaume wa shoka asiemuogopa yeyote. Kwa mtu yeyote mwenye akili ambae hatangulizi tumbo mbele anajua kuwa magufuli ni shujaa.

Watanzania wanapenda kudekezwa wafanye wanachotaka wao.bure kabisa

Rip jpm
kama unamauchungu na MEKO c ukajifungue.. hata mkilia harudi ametutia hasara kubwa na hatutomsahau kwa hili na yote aliyotufanyia ikiwemo mateso kuteka kunyonga kung'oa kucha kuuwa kutupa kwenye viroba mtoni kutukana wananchi kuwabeza wanakagera eti ''katerero nyinyi.. ukimwi nyinyi... tetemeko nyinyi...'' huyu ndio mnamuona kama mungu wenu... sasa Mungu wetu kafanya kweli baada ya kusikia kilio cha mateso kutoka kwa mhutu wenu na kikundi chake.. jifanyeni hamjui wakati mnajua hamjui..
nilisahau na hili kudhulumu wafanyakazi haki zao kisa vyetifeki na mafao ya hao wahanga kayameza..
 
Huyu jamaa nilimdharau tangu siku aliposema hajui Tundu Lisu aliko,
Mnafiki na snitch sana huyu, siyo vizuri kuombea watu mabaya lakin i wish angemsindikiza mwendazake.
 
kama unamauchungu na MEKO c ukajifungue.. hata mkilia harudi ametutia hasara kubwa na hatutomsahau kwa hili na yote aliyotufanyia ikiwemo mateso kuteka kunyonga kung'oa kucha kuuwa kutupa kwenye viroba mtoni kutukana wananchi kuwabeza wanakagera eti ''katerero nyinyi.. ukimwi nyinyi... tetemeko nyinyi...'' huyu ndio mnamuona kama mungu wenu... sasa Mungu wetu kafanya kweli baada ya kusikia kilio cha mateso kutoka kwa mhutu wenu na kikundi chake.. jifanyeni hamjui wakati mnajua hamjui..
nilisahau na hili kudhulumu wafanyakazi haki zao kisa vyetifeki na mafao ya hao wahanga kayameza..
Watu wenye vyeti feki mlotumbuliwa ndo hampendi magufuli.
Hata wewe utakufa tu yeye katangulia.

Ila alijua aliwanyoosha mijizi isopenda kulipa kodi. Libarikiwe tumbo lililomzaa magufuli.
 
lenyewe MEKO ndo lilikuwa JIZI kuu CAG amemuumbua huyu mhutu wenu Mungu alijua ndo mana kaliwahi lisiendelee kunyonga kung'oa kucha kuteka kupoteza na kundi lake la wasiojulikana ukiwemo na wewe mwanakharaaaam. tetea Jizi lenu lkn ndo limeshanyakuliwa liko kwa zilaili eti linaomba kuongoza MALAIKA huko liliko labda wa CHATTO.
angalao tunapumua sasa na MAMA ETU SAMIA
 
Watu wenye vyeti feki mlotumbuliwa ndo hampendi magufuli.
Hata wewe utakufa tu yeye katangulia.

Ila alijua aliwanyoosha mijizi isopenda kulipa kodi. Libarikiwe tumbo lililomzaa magufuli.
kwahiyo unamcheka hata babako alietumbuliwa kwa vyeti feki.. muulize ameshachukua mafao yake?
 
Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.

Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.

Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania

Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?

Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Ndugai kachemka vibaya sana. Kaonyesha unafiki wa wanasiasa, kwamba alishindwa kumwambia Marehemu haya anayoyasema sasa.

Ndio hulka yetu ya kitanzania, kuzungumzia pembeni tukikwepa kuambiana ukweli, ni kufuga majungu na usaliti.
 
Unafiki ni dhambi kubwa sana duniani hasa ikifanywa na mtu mzima.
Unafiki husababishwa na mtu kukosa hekima na busara kichwani.
Shame!
 
Huyu sio kiongozi. Na asingeweza kuwa pale bila Hayati Magufuli. Ila baada ya kufa ndio anaanza kumgeuka. Anasahau watu wanaangali haya yote kwa ukaribu sana.
Jinsi mambo yalivyo, kama wanataka kweli mabadiliko yaje, baadhi ya hawa wanaoyalilia lazima yatawaweka pembeni. Muosha huoshwa
 
Back
Top Bottom