Ndugai ni mnafiki mkubwa hafai kuwa kiongozi hata kwa nusu dak
Yaani spika ashindwe kumdhibiti Rais kweli!Siyo yeye tu, nani alithubutu kwenda kinyume na jiwe?
Huenda alimtishia kulivunja bunge.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai ni mnafiki mkubwa hafai kuwa kiongozi hata kwa nusu dak
Yaani spika ashindwe kumdhibiti Rais kweli!Siyo yeye tu, nani alithubutu kwenda kinyume na jiwe?
Huenda alimtishia kulivunja bunge.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Yani kuna mambo ukiyasoma huwezi amini JPM alikuwa na watu pembeni yake, matumbo haya yanafanya watu washindwe kutumia taaluma zao. Nchi ya kindezi sana hii.Yaani najiuliza hawa watu ni wajinga kiasi gani? Sasa ndo najua kwa nini magufuli alikuwa akifanya kazi hata ambazo alitakiwa kufanya mtendaji wa kata.
Ni kwa sababu alijua anaofanya nao ni wajinga analazimika kufanya kazi mwenyewe.
Yaani wote ni wachumia tumbo hatuna wasomi wazalendo jitu linaangalia tumbo lake.
Hawa hawa ndo alifanya nao kazi kwa ukaribu leo ndo wako mstari wa mbele kumponda.
Kifo ni fumbo kama marehemu angekuwa anarudi kuwa hai duniani jpm tungempa kura za kumwaga akasafishe huu upuuzi unao endelea.
Mm ninachojua msomi anaetambua kazi yake lazima asimamie haki, bora utumbuliwe lakini kwa kusimamia haki
Sasa unajiuliza magufuli alikuwa mbovu mbona walimsifia kwa nguvu zote? Mbona walimshauri kwa nguvu zote? Hawakuwa royal kwake hawa waganga njaa.
Hata mponde vipi kisa ashakufa magufuli ni mwanaume wa shoka asiemuogopa yeyote. Kwa mtu yeyote mwenye akili ambae hatangulizi tumbo mbele anajua kuwa magufuli ni shujaa.
Watanzania wanapenda kudekezwa wafanye wanachotaka wao.bure kabisa
Rip jpm
Kwenye huu mradi Ndugai alishakula chake toka 2013Ndugai anataka kutengeneza deal lake mapema mapema. Huu mradi anataka urudi ili anemeeke yeye binafsi.
Mama Samia awe mwangalifu
Nina hasira sana hii ni mijitu ya aina gani aisee?Yani kuna mambo ukiyasoma huwezi amini JPM alikuwa na watu pembeni yake, matumbo haya yanafanya watu washindwe kutumia taaluma zao. Nchi ya kindezi sana hii.
Kweri kabisa.Kwenye huu mradi Ndugai alishakula chake toka 2013
Ili kuthibitisha kuwa marehemu alipotoshwa, spika aite press conference aweke wazi ukweli wa mambo na mkataba ulivyo, kisha mkataba huo uwekwe wazi ili wataalamu wa mambo ya mikataba watusaidie.Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.
Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.
Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania
Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?
Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Nani alikuambia speaker ni mshauri wa Rais? Huoni yeye anawashauri wabunge ndio washauri? Yeye anakaa kama umpire (neutral part) kwenye mijadala yote Ila anaweza kuchomekea maneno tu sababu bunge letu ni adversary oriented.Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.
Rais wa JMT ni sehemu ya bunge, bunge la JMT lina mamlaka ya kuisimamia Serikali na kuhoji pale serikali inapofanya ndivyo sivyo, hili lipo wazi kabisa kwa mujibu wa katiba ya JMT ibara ya 63.
Leo hii spika Ndugai anaongea mambo na kuwaona watanzania ni wajinga? Kwamba alienda huko China na kuonana na bodi ya kampuni ya China Merchant, na walitoa presentation nzuri yenye kumuhakikishia kuwa wakipewa kazi ya kujenga mradi wa bandari Bagamoyo, utakuwa na faida kw Tanzania
Kwa kumalizia anasema mkuu wa nchi aliyekuwepo alipotoshwa na ndio maana akaupiga chini mradi wa Bagamoyo. Sasa kama alipotoshawa na wewe na Bunge lako mna mamlaka ya kuhoji, na kuisimamia serikali kwa nini hamkueleza ukweli? Leo unasubiri hayupo baaada ya kufariki ndio unatufanya watoto?
Wewe kama mkuu wa bunge, ulishindwa vipi kujadili na wabunge ili kumuambia mkuu wa nchi aliyekuwepo kuwa anapotoshwa? Na je, kama alikuwa hapotoshwi ila kulikuwa na mashariti yasiyo na tija?
Ni mjinga sn huyo mzeeYaani spika ashindwe kumdhibiti Rais kweli!
kama unamauchungu na MEKO c ukajifungue.. hata mkilia harudi ametutia hasara kubwa na hatutomsahau kwa hili na yote aliyotufanyia ikiwemo mateso kuteka kunyonga kung'oa kucha kuuwa kutupa kwenye viroba mtoni kutukana wananchi kuwabeza wanakagera eti ''katerero nyinyi.. ukimwi nyinyi... tetemeko nyinyi...'' huyu ndio mnamuona kama mungu wenu... sasa Mungu wetu kafanya kweli baada ya kusikia kilio cha mateso kutoka kwa mhutu wenu na kikundi chake.. jifanyeni hamjui wakati mnajua hamjui..Yaani najiuliza hawa watu ni wajinga kiasi gani? Sasa ndo najua kwa nini magufuli alikuwa akifanya kazi hata ambazo alitakiwa kufanya mtendaji wa kata.
Ni kwa sababu alijua anaofanya nao ni wajinga analazimika kufanya kazi mwenyewe.
Yaani wote ni wachumia tumbo hatuna wasomi wazalendo jitu linaangalia tumbo lake.
Hawa hawa ndo alifanya nao kazi kwa ukaribu leo ndo wako mstari wa mbele kumponda.
Kifo ni fumbo kama marehemu angekuwa anarudi kuwa hai duniani jpm tungempa kura za kumwaga akasafishe huu upuuzi unao endelea.
Mm ninachojua msomi anaetambua kazi yake lazima asimamie haki, bora utumbuliwe lakini kwa kusimamia haki
Sasa unajiuliza magufuli alikuwa mbovu mbona walimsifia kwa nguvu zote? Mbona walimshauri kwa nguvu zote? Hawakuwa royal kwake hawa waganga njaa.
Hata mponde vipi kisa ashakufa magufuli ni mwanaume wa shoka asiemuogopa yeyote. Kwa mtu yeyote mwenye akili ambae hatangulizi tumbo mbele anajua kuwa magufuli ni shujaa.
Watanzania wanapenda kudekezwa wafanye wanachotaka wao.bure kabisa
Rip jpm
Watu wenye vyeti feki mlotumbuliwa ndo hampendi magufuli.kama unamauchungu na MEKO c ukajifungue.. hata mkilia harudi ametutia hasara kubwa na hatutomsahau kwa hili na yote aliyotufanyia ikiwemo mateso kuteka kunyonga kung'oa kucha kuuwa kutupa kwenye viroba mtoni kutukana wananchi kuwabeza wanakagera eti ''katerero nyinyi.. ukimwi nyinyi... tetemeko nyinyi...'' huyu ndio mnamuona kama mungu wenu... sasa Mungu wetu kafanya kweli baada ya kusikia kilio cha mateso kutoka kwa mhutu wenu na kikundi chake.. jifanyeni hamjui wakati mnajua hamjui..
nilisahau na hili kudhulumu wafanyakazi haki zao kisa vyetifeki na mafao ya hao wahanga kayameza..
lenyewe MEKO ndo lilikuwa JIZI kuu CAG amemuumbua huyu mhutu wenu Mungu alijua ndo mana kaliwahi lisiendelee kunyonga kung'oa kucha kuteka kupoteza na kundi lake la wasiojulikana ukiwemo na wewe mwanakharaaaam. tetea Jizi lenu lkn ndo limeshanyakuliwa liko kwa zilaili eti linaomba kuongoza MALAIKA huko liliko labda wa CHATTO.Watu wenye vyeti feki mlotumbuliwa ndo hampendi magufuli.
Hata wewe utakufa tu yeye katangulia.
Ila alijua aliwanyoosha mijizi isopenda kulipa kodi. Libarikiwe tumbo lililomzaa magufuli.
kwahiyo unamcheka hata babako alietumbuliwa kwa vyeti feki.. muulize ameshachukua mafao yake?Watu wenye vyeti feki mlotumbuliwa ndo hampendi magufuli.
Hata wewe utakufa tu yeye katangulia.
Ila alijua aliwanyoosha mijizi isopenda kulipa kodi. Libarikiwe tumbo lililomzaa magufuli.
Ndugai kachemka vibaya sana. Kaonyesha unafiki wa wanasiasa, kwamba alishindwa kumwambia Marehemu haya anayoyasema sasa.Tunapoenda tunaelekea pabaya sana. Na hii ni dalili mbaya sana ya kuwepo kwa viongozi wanafiki na wasiofaa katika jamii yetu.