Nimewasikia UVCCM wengi wakishinikiza Spika ajiuzulu lakini sioni hoja nzito wanatoa kumfanya kiongozi wa Muhimili ajiuzulu zaidi ya kusema amepingana na Rais ambaye ni Mwenyekiti wake. Kosa lake hasa ni lipi, kuisimamia serikali?
Spika wa Bunge ana kinga ya kutoshitakiwa popote sheria mliyoipitisha wenyewe bungeni. Spika ana wabunge wengi nyuma yake (Sukuma Gang + wabunge wa JPM) kwahiyo itakuwa ngumu kupeleka hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni. Mkimvua uanachama maana yake manawagawa wanachama mkumbuke Spika ni kiongozi wa muhimili mmoja kati ya mitatu ni namba 2 kama sio 3 kwa nguvu nchini, huwezi kumvua uanachama kama mlivyomvua Membe ikaishia hapo, atapambana.
Je, asipojiuzulu mtamfanya nini, mna plan B?