Ndugai akikataa kujiuzulu CCM mtamfanya nini?

Ndugai akikataa kujiuzulu CCM mtamfanya nini?

Ndugai hana kinga yoyote mbele ya CCM
Li Ndugai kama ana akili timamu atakuwa anajiuliza jee ubaya una faida? Wale aliokuwa anawabenza, anawanyanyasa na kuwatweza hadi akawafukuza kazi kwa kejeli wakiwa wanatibiwa ndio wanao mtetea, kumpigania na kumtia nguvu.
Hili fundisho baada ya muda aje aulizwe limemuingia?
 
Li Ndugai kama ana akili timamu atakuwa anajiuliza jee ubaya una faida? Wale aliokuwa anawabenza, anawanyanyasa na kuwatweza hadi akawafukuza kazi kwa kejeli wakiwa wanatibiwa ndio wanao mtetea, kumpigania na kumtia nguvu.
Hili fundisho baada ya muda aje aulizwe limemuingia?
Ndugai analaana
 
Simple ni kumteua kuwa balozi Israel ili akatembelee tena Galilaya.
 
Swali hilo ndilo nimewauliza UVCCM.

"Kuomba kwake radhi bado hakuondoi nia yake ovu wakati anatoa kauli zake, radhi imetoka ili kuwapoza waliochukizwa naye,

Ndg. Ndugai amepoteza uhalali (Legitimacy) kuendelea kuwa Spika wa Bunge letu, awajibike kwa kujiuzulu" Omega Thobias, Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa
Hata Ndugai akijiuzulu leo ujumbe wake utawatesa hadi 2025
 
Kwani wewe chama gani. Wanasema ya kaisari mwachie kaisari. Nyie watu wote mnaotetea vyama vyenu kuliko utu inabidi mpambane wenyewe mana ndo mwelekeo wenu. Lumumba kwao na ufipa kwao. Ndo navyoona msisitizo mtu akichangia mada.
Namsema Spika wa bunge la JMT
 
Nimewasikia UVCCM wengi wakishinikiza Spika ajiuzulu lkn sioni hoja nzito wanatoa kumfanya kiongozi wa Muhimili ajiuzulu zaidi ya kusema amepingana na Rais ambaye ni Mwenyekiti wake. Kosa lake hasa ni lipi, kuisimamia serikali?

Spika wa Bunge ana kinga ya kutoshitakiwa popote sheria mliyoipitisha wenyewe bungeni. Spika ana wabunge wengi nyuma yake (Sukuma Gang + wabunge wa JPM) kwahiyo itakuwa ngumu kupeleka hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni. Mkimvua uanachama maana yake manawagawa wanachama mkumbuke Spika ni kiongozi wa muhimili mmoja kati ya mitatu ni namba 2 kama sio 3 kwa nguvu nchini, huwezi kumvua uanachama kama mlivyomvua Membe ikaishia hapo, Atapambana. Je, asipojiuzulu mtamfanya nini, mna plan B?
Watachukua kadi yao
 
Najua unajua na huhitaji kuambiwa, vinginevyo umekuwa mwimba pambio mkongwe usiyejua hata kwanini unaimba mapambio.
Kati ya mimi na wewe nani anaimba mapambio?
 
yeye mbona alimlazimisha prof. Assad ajiuzuru japo prof alikataa, akanyofolewa Kwa uteuzi wa mtu mwingine!
 
Back
Top Bottom