Ndugai akikataa kujiuzulu CCM mtamfanya nini?

Tunasikia aliomba radhi kwa kushinikizwa hakuwa tayari kuomba radhi ndio maana radhi yake ilikataliwa.
Kushinikizwa pia unaweza kukataa ukabaki na msimamo wako ni vile ndugai kumbe ni mwepesi sana kichwani amesema yale akiwa hajajiandaa., a big looser, pengine ndio malipo ya miongoni mwa dhuluma alizokuwa akizisimamia wacha yamkute
 
Nimewasikia UVCCM wengi wakishinikiza Spika ajiuzulu lkn sioni hoja nzito wanatoa kumfanya kiongozi wa Muhimili ajiuzulu zaidi ya kusema amepingana na Rais ambaye ni Mwenyekiti wake. Kosa lake hasa ni lipi, kuisimamia serikali?

Spika wa Bunge ana kinga ya kutoshitakiwa popote sheria mliyoipitisha wenyewe bungeni. Spika ana wabunge wengi nyuma yake (Sukuma Gang + wabunge wa JPM) kwahiyo itakuwa ngumu kupeleka hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni. Mkimvua uanachama maana yake manawagawa wanachama mkumbuke Spika ni kiongozi wa muhimili mmoja kati ya mitatu ni namba 2 kama sio 3 kwa nguvu nchini, huwezi kumvua uanachama kama mlivyomvua Membe ikaishia hapo, Atapambana. Je, asipojiuzulu mtamfanya nini, mna plan B?
Kwanini ajiuzulu? Amefanya kosa gani? Kosa lake ameshindwa kitetea hoja yake kuwa huwezi kukopa kwa ajili ya consumables na ukatamba kuwa umefanya jambo la maana. Unakopa ili ufanye kitu ambacho kwacho kitaleta faida siku za usoni ili faida ikalipie deni.
 
Kweli huwezi kukopa ili ujenge choo cha shule.
 
Nimewasikia UVCCM wengi wakishinikiza Spika ajiuzulu lkn sioni hoja nzito wanatoa kumfanya kiongozi wa Muhimili ajiuzulu zaidi ya kusema amepingana na Rais ambaye ni Mwenyekiti wake. Kosa lake hasa ni lipi, kuisimamia serikali?

Spika wa Bunge ana kinga ya kutoshitakiwa popote sheria mliyoipitisha wenyewe bungeni. Spika ana wabunge wengi nyuma yake (Sukuma Gang + wabunge wa JPM) kwahiyo itakuwa ngumu kupeleka hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni. Mkimvua uanachama maana yake manawagawa wanachama mkumbuke Spika ni kiongozi wa muhimili mmoja kati ya mitatu ni namba 2 kama sio 3 kwa nguvu nchini, huwezi kumvua uanachama kama mlivyomvua Membe ikaishia hapo, Atapambana. Je, asipojiuzulu mtamfanya nini, mna plan B?
,🧓👇

Screenshot_20220106-143907.png
 
Kweli huwezi kukopa ili ujenge choo cha shule.
Ni upuuzi mtupu! Ati tunakopa kununua barakoa, na kodi si ndiyo ya kujenga vyoo na madarasa? Hivi ukitafuta matenti watoto hawawezi kusoma kama huna hela? Tusibabaishane mkopo huu ungalikuwa ni wa bwawa la umeme au SGR Sawa au kujenga barabara ya lami ya kimkakati inayounganisha Tanzania na nchi jirani ili tupate foreign currency sawa
 
Nimewasikia UVCCM wengi wakishinikiza Spika ajiuzulu lkn sioni hoja nzito wanatoa kumfanya kiongozi wa Muhimili ajiuzulu zaidi ya kusema amepingana na Rais ambaye ni Mwenyekiti wake. Kosa lake hasa ni lipi, kuisimamia serikali?

Spika wa Bunge ana kinga ya kutoshitakiwa popote sheria mliyoipitisha wenyewe bungeni. Spika ana wabunge wengi nyuma yake (Sukuma Gang + wabunge wa JPM) kwahiyo itakuwa ngumu kupeleka hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni. Mkimvua uanachama maana yake manawagawa wanachama mkumbuke Spika ni kiongozi wa muhimili mmoja kati ya mitatu ni namba 2 kama sio 3 kwa nguvu nchini, huwezi kumvua uanachama kama mlivyomvua Membe ikaishia hapo, Atapambana. Je, asipojiuzulu mtamfanya nini, mna plan B?

Kwani wewe chama gani. Wanasema ya kaisari mwachie kaisari. Nyie watu wote mnaotetea vyama vyenu kuliko utu inabidi mpambane wenyewe mana ndo mwelekeo wenu. Lumumba kwao na ufipa kwao. Ndo navyoona msisitizo mtu akichangia mada.
 
Shemeji yake Yesu naona hali mbaya. Halafu akili ya kibinadamu hawezi tambua kuwa haya ni matokeo ya UNYAMA alioufanya kwa watanzania kuukandamiza upinzani uliochaguliwa kihalali na Watanzania. Na kufanya uhuni wa ajabu wa kumkandamiza na kumfanyia kila aina ya inhuman Lissu,na kiwaingiza covid 19 bungeni.

Haya ndo malipo yamekuja indirect.
 
Nimewasikia UVCCM wengi wakishinikiza Spika ajiuzulu lkn sioni hoja nzito wanatoa kumfanya kiongozi wa Muhimili ajiuzulu zaidi ya kusema amepingana na Rais ambaye ni Mwenyekiti wake. Kosa lake hasa ni lipi, kuisimamia serikali?

Spika wa Bunge ana kinga ya kutoshitakiwa popote sheria mliyoipitisha wenyewe bungeni. Spika ana wabunge wengi nyuma yake (Sukuma Gang + wabunge wa JPM) kwahiyo itakuwa ngumu kupeleka hoja ya kutokuwa na imani naye bungeni. Mkimvua uanachama maana yake manawagawa wanachama mkumbuke Spika ni kiongozi wa muhimili mmoja kati ya mitatu ni namba 2 kama sio 3 kwa nguvu nchini, huwezi kumvua uanachama kama mlivyomvua Membe ikaishia hapo, Atapambana. Je, asipojiuzulu mtamfanya nini, mna plan B?
Tunamnyanganya kadi yetu halafu tunamsindikiza kijijini mwake na kumuwekea ulinzi wa kutosha ,maisha yake yote atatakiwa kuishi hapo,Kila asubuhi atatakiwa kusign attendance book kwa mwenyekiti wa Kijiji bila kukosa.
Umeridhika?
 
Zote hizo ni kelele tuu hamna wa kujiuzulu wala nini. Vijana wa uvccm wengi wao wapo kuonekana walau wapate ata nafasi katika ngazi za serikali
 
Back
Top Bottom