GE2025 Ndugai apitishwa na wajumbe ubunge Jimbo la Kongwa Dodoma

GE2025 Ndugai apitishwa na wajumbe ubunge Jimbo la Kongwa Dodoma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Spika wa zamani wa bunge la Tanzania job ndugai amepitishwa na wajumbe kuwa Mgombea ubunge CCM jimbo la Kongwa kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika October 29, 2025
-1126293964.jpg
 
Wagogo kazi Yao omba omba
Akili hawana wanaleta hili bumunda la nini bungeni
Natumai kamati kuu watampiga chini?
Madam Samia kumbuka huyu alikwambia ati nchi yako itapigwa mnada😂
 
Wajumbe SI juzi tuu hapa walimvaa, KWAMBA hajatekeleza ahadi? Kuna MTU nmetoka kumwambia fanyeni YOTE ila mjue Wajumbe ni Njaaa Kali. maskini hawanaga kiapo



Kwishaaaaa
 
Wagogo mmepewa second chance kuku nyie..
 
Polepole alisema Ndungai ana ya kusema kuhusu kujiuzulu kwake u speaker. Alisema Mungu stamps ujasiri iko siku atazungumza hadharani.
 
Huenda walimshawishi wakijua kuna jambo litatendeka
 
Back
Top Bottom