Miaka 25 Bungeni ,unajibu Spika na Uspika lakini Bado alikuwa anataka mi 5 tenaSpika wa zamani wa bunge la Tanzania job ndugai amepitishwa na wajumbe kuwa Mgombea ubunge CCM jimbo la Kongwa kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika October 29, 2025
View attachment 3431311
Ingekuwa Ulaya mke wake anachukua nafasiBAADA ya kushinda kura ya maoni,Ndugai amefariki.
Misimamo KWENYE PESA ...............Cjui kama ameungama dhambi za Lisu ndo bas kaondoka
AmetutokaPolepole alisema Ndungai ana ya kusema kuhusu kujiuzulu kwake u speaker. Alisema Mungu stamps ujasiri iko siku atazungumza hadharani.
Bahati mbaya ameendaPolepole alisema Ndungai ana ya kusema kuhusu kujiuzulu kwake u speaker. Alisema Mungu stamps ujasiri iko siku atazungumza hadharani.