Ndugai asisahau, kadi yake ya CCM ndio inampa uspika, CCM wanaweza kuiondoa muda wowote na akawa raia wa kawaida tu

Anajitoa ufahamu huyo hats usibishane naye, anajua nguvu aliyonayo mwenyekiti wa CCM ya kudili na spika ni kubwa sana ila atafanya nini wakati kaahidi kufanya 'damage control' ya spika
 
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Wewe ujui team uzarendo ilivyo jipanga ......bado bomu kutoka kwa waziri mkuu soon linakuja kumbomoa mama na hapo ujue tunatest mitambo tu
 
Hilo la kuwa raia wa kawaida haliwezekani alishavuka cheo hicho. Ningewashauri mjikite na yatakayotokea kwa kumvua Mh Ndugai Uspika kama ndio matamanio yenu.

Na kwa mwenendo na maneno haya yanayoendelea kwenye malumbano tutarajie Tanzania kumzalisha Ruto wao. Bahati kwa Kenya ni Nchi moja. Tanzania ni Tanganyika na Zanzibar.
 
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
Acha kumtisha Ndugai wewe, mbona kuna wabunge 19 ndani ya Bunge hawana chama na wanalipwa kodi za Watanzania kama kawaida
 
google katiba ujielimishe
Sio kweli. Speaker sio lazima awe mwanachama. Mtu yeyote mwenye sifa ya kuwa mbunge anaweza kuwa speaker. Sasa mbunge sio lazima awe mwanachama. Mtu yeyote anaweza kuwa mbunge, either kupitia chama au kuteuliwa
 
Ndugai mwenyewe anajua the power vested to the president kwa katiba yetu hii ,sidhani kama leo usingizi
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma
 
Umeongea vema, ila na yeye mbona huwa anakuaga mkali tena na vitisho juu au humwonagi? Au ni yeye pekee ndie mwenye mamlaka ya kushauri ama kukosoa ila si kushauriwa ama kukoolewa?
Good question.
 
Amemsikiliza vizuri sana, pia ujue amechambua kila kitu bila shaka kwa kushirikiana na TISS.
 
huu uzi ni wa ovyo sana.kila mtu ana haki ya kuchalenji na kuunga mkono lolote nchi ni ya demokrasia.spika katoa maoni yake na wala si kwamba ndo anampinga Rais.
Yeye mbona huwa watu wakitoa maoni/kauli za kupinga miendendo ya bunge huwa anawaita na kuwapiga mikwara, what goes around comes around.
 
CCM ni wajinga sana. Hizi mambo ndo zinafanya rais tuone katiba mpya ni muhimu na haiepukiki. Haiwezekani Spika akapigwa za uso na watu wadogo kiasi hiki eti kisa tunalinda mamlaka ya urais. Kwa nini hatuna utamaduni wa kukubali ukweli ? Deni la taifa ni mzigo na lazima tuelezane. Isije ikafika siku tukaambiawa tunapunguza mishahara kulipia deni la taifa. Hiyo siku mtamkumbuka Ndugai nawaambia (huwa simkubali ila kazungumza hoja ya msingi na yenye mashiko).

Hatutaki kuwa Ugiriki. Ila tukifika huko tusilaumiane
 
Unaweza kuwa Spika hata usipokuwa mwanachama wa chama cha siasa unless kama kifungu husika cha katiba kimebadilishwa! Sema, akifukuzwa CCM, halafu 2025 akajaribu tena kugombea, kwake itakuwa ngumu kupita bila backup ya CCM
Alishasema yeye 2025 basi
 
Kuna watu wanamdanganya eti anaweza kutikisa Urais wa Samia. Wasidanganye, siku anaanza ndio siku anafutiwa uanachama, ubunge wake unakoma, na uspika unakoma

Haiko hivyo mjomba. Kwani hukusikia kumchinja Kobe yataka timing?

Kama tennis vile mpira wacheza ukiwa kwako:

Your browser is not able to display this video.
 
Mwenye ushauri mwenyewe kaukana ushauri wake, sasa unataka sisi tutetee nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…