😂😂😂Watani zake hao unataka kuleta ujinga wa UFIPA humu.
Hujui hata maana ya utani!!??Akitoa salamu zake mbele ya raisi samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge job ndugai amesema mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema
"mwanza kunapendeza lakinni kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na mabati ya kijani".
Hii ni dharau kubwa sana kwa mtu mkubwa kama spika kutoa dharau kwa watu ambao kipato chao ni kidogo na ndiyo maana nyumba zao wameezeka na mabati ya sufuria. Kweli viingozi wetu wakipata uwezo mkubwa wa fedha wanasahau kabisa kwamba kuna wengine hawana uwezo kama wa kwao .
Hekima ni kukaa kimya, sio kuongea pumba.Rais hawezi kuongeza mshahara mwaka wa majonzi kama huu!! Tumuenzi Magufuli kwa vitendo apeleke fedha zote kwenye Miradi ya maji.
Huyo mgonjwa achana naye. Kule kwao Wanaezeka kwa udongoAkitoa salamu zake mbele ya raisi samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge job ndugai amesema mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema