Ndugai hakutakiwa kuomba msamaha; Sasa kajitia kitanzi mwenyewe

swali mnamkumbuka au ndo mnacheza kila ngoma wanayopiga CCM?
Kuna haja gani upinzani kuingilia ugomvi wa Samia na ndugai?
mtadai lini haki zenu?
Mimi na CCM ni pete na kidole.
 
Inawezekana hata hana nia ya kugombea ila Mimi naona kilichomuuma nikwanini madarasa yajengwe kwa wingi Sasa hapo inawezekana kala mshiko wa shule binafsi anaogopa shule zisiendelee kustawishwa na kuongezeka iwapo mikopo itaendelea kujenga shule na kuchukua wanafunzi wengi waliofaulu kitendo kitachowapunguzia wanafunzi shule binafsi maana angekuwa na uchungu kweli na Nchi huko nyuma tungeshamuona akisimama pamoja na wananchi.
 
Mkuu we hukuwepo kwenye kile kikao kwa ufupi ndugai aliponda mkopo wa 1.3 bila chenga tena mkopo ilikuwa zuga tu hisia zake unaona kabisa anamdisi maza spana alizopewa ni haki yake kabisa.
Mimi bila kujali usahihi wa chochote alichokizungumza Ndugai mbele ya wagogo wenzie, nafurahia sana matokeo yake na kinachoendelea sasa kwani jamaa ni mnafiki sana na Mungu hamfichi mnafiki.
 


Wakubwa wakiparurana hivi nafikiri ndio wataelewa umuhimu wa kuichonga katiba mpya lakini hivi hivi kwa hawa watanzania ninaowajua sidhani
 
Ogapa kitu kinaitwa "Karma"
Spika alichoongea siyo kitu kibaya hakutakiwa kuomba msamaha lakini naye alimuonea CAG Assad kwani naye hakuzungumza kitu kibaya kwahiyo muosha huoshwa.!
 
Ogapa kitu kinaitwa "Karma"
Spika alichoongea siyo kitu kibaya hakutakiwa kuomba msamaha lakini naye alimuonea CAG Assad kwani naye hakuzungumza kitu kibaya kwahiyo muosha huoshwa.!
Tafadhari rudia bandiko hili kwa herufi kubwa nahitaji kuprint nikali laminate
 
Hapana polepole hana mfano wa hili, polepole ni takataka tu maneno yk tumeweka kwa dustbin shida yetu ilikuwa ni huu muhimili ambao tunafanya nao kazi kwa upande mwengine vipi anageuka geuka halaf akagusia uchaguz wa 2025? Mama samia pasina shaka alimjua shida yake ni madaraka ya rais, Kwaiyo wacha yamkute

Alipofeli ndugai ni kwamba hakuweka hakiba juu ya mtu aliye juu yake kimadaraka., apo tuu
 

So mpaka sasa hakuna tumaini kwa spika?
 
Alichosema ni ukweli, kosa lake ni kuomba msamaha,
Alisema mpole mpole kua sisien ukiwa mkweli inakula kwako,
Je ndugu kazi asingeomba msamaha ingekuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…