Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Nilipopata tetesi hizi za Rais wa Yanga kuwa mwaka 2025 atakwenda kugombea ubunge Jimbo la Kongwa nilibisha na sababu iliyonifanya nibishe ni sijawai kumuona Enjinia Hersi Said akijiusisha na Siasa kivile, lakini jana ndio nimepata uthibitisho kuwa Rais huyu wa Yanga 2025 atavuta Fomu ya Ubunge Kongwa
Siku ya jana ilikuwa na Siku ya Kuzaliwa Mwenyekiti wa Makampuni ya GSM Gharib Said ambapo alitumia siku hii kusheherekea kwa kutoa misaada ya kijamii kwenye mji mdogo wa kibaingwa hii maana yake ni nini?
Kilichofanyika jana ni akili kubwa katika kuanza kampeni za kulichukua jimbo ilo la kongwa kutoka mikono mwa Spika mtaafu Na Mbunge anamaliza Muda wake Job Ndugai, ambae yeye binafsi alitangaza kuachana na ubunge lakini kama kawaida wanasiasa wa afrika tabia ya kuachia madaraka awana bali upandikiza warithi, ambapo Job Ndugai Toka uchaguzi wa ndani wa Ccm alianza kupanga Safu ya Viongozi ambayo watakuja kumuunga mkono mlithi wake ambae ni Mkewe Bi Fatuma Mganga ambae ni Katibu tawara wa Mkoa wa Singida.
Hersi ametumia medani za Kivita kuingia Jimbo La Kongwa kwa kuitumia Taasisi ya Gsm na pamoja na Siku ya Kuzaliwa kwa Gharib Said Kuchiti maneno kuwa ameenza kampeni mapema, na kudhilisha ilo kuwa Hersi ameanza Mahesabu ya Ubunge Kongwa, ameanzia harakati zake Mji Mdogo wa Kibaingwa ambapo Kata Hii Ndio Utoa uamuzi Mbunge wa Kongwa awe nani.
Pamoja na Kata ya Kibaingwa kuwa sehemu ya maamuzi ya Ubunge wa Kongwa, Kibaingwa ni Eneo ambalo Job Ndugai wakati wote wa Ubunge wake amekuwa akipata upinzani mkubwa kuanzia kwa wanaccm wenyewe na vyama vya upinzani, kwa maana nyingine unaweza kusema Injinia Hersi Said ameanzia kumpiga Ndugai kwenye Donda Ndugu lake kuelekea kuchukua Jimbo La Kongwa Ambalo Ndugai alishakuwa anamuandaa Mkewe kuwa Mbunge 2025.
Ikumbukwe Injinia Hersi ndio anasimamia Uendeshaji wa Makampuni Ya GSM kwaiyo akili kubwa ya Hersi imetumika kuanza kampeni kwa kuitumia GSM FOUNDTION.
Unaweza ukajiuliza kwanini Hersi said anaenda kugombea ubunge kongwa endelee kunifatilia mzee code nitakuja na uzi kipi kimesababisha Hersi kusaka ubunge tena kongwa unaweza ukajiuliza Hersi na Kongwa wapi na wapi amekuwa mkazi wa Kariakoo, amesoma dar Tulia uzi unakuja soon.