Pre GE2025 Ndugai huna chako Jimbo la Kongwa, Hersi Said wa Yanga ni Mbunge ajae Kongwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Labda useme huyo Hersi anaanza campaign mapema dhidi ya wenzake, pengine nyuma yake yupo huyo-huyo Ndugai maana ana-unazi kwenye ushabiki wa mpira nae.

Vinginevyo Kongwa 2025 ni gombania goli, Ndugai alishasema huu ni muhula wake wa mwisho kabla hata ya sakata la kuvuliwa ubunge, yeye hatogombea tena ubunge 2020 ni mara yake ya mwisho.
 
Mzee akisoma hii mada atakufa Kwa presha...injinia anaweza kugombea Jimbo lolote Tanzania na akashinda SAA 4 asubuhi
Yeye alishasema anastaafu pia jua kuwa ataendelea kupata mshahara na marupurupu ya uspika mpaka kifo. Sasa shida iko wapi hapo!
 
Ajiandae kupigwa gongo la kichwa hadi azimie sawa na yule mgombea wa miaka ile!.
 
Yeye alishasema anastaafu pia jua kuwa ataendelea kupata mshahara na marupurupu ya uspika mpaka kifo. Sasa shida iko wapi hapo!
Kwani wanafuatiliaga siasa za Tanzania basi, Ndugai alishatangaza hadharani 2020 ndio mwisho.
 
Reactions: UCD
Familia yake ni watu wa Njoge, Ngomai, Kibaigwa,.
Hersi asili yake ni Mtoto wa Maeneo ya Ngomae na Njoge.
Week mbili zilizopita alikuwa Msibani Kwa Babu yake mzaa Mama ambae ni Mkazi wa Njoge.
 
Sina hakika kama kweli ni Engineer, Ila hata kama lingekuwa jiwe, ningelichagua kuliko Ndungai.

Huyu Mzee hajawahi kuwa msaada wowote pale Kongwa, Ubunge na uspika miaka kumi, lami kilometa 10. What a shame!
 
Sina hakika kama kweli ni Engineer, Ila hata kama lingekuwa jiwe, ningelichagua kuliko Ndungai.

Huyu Mzee hajawahi kuwa msaada wowote pale Kongwa, Ubunge na uspika miaka kumi, lami kilometa 10. What a shame!
Sio yeye tu kwani unafikiri hao wengine huko majimboni kuna maajabu. Bongo hata ucjague nani hakuna nafuu yoyote, ni kama tumesuswa
 
Wakati wa dhalim Magufuli Ndungai alikuwa kama Houseboy wake.
 
Ndungai ni Simba lia lia.
 
Yule masikio ana kihere here na tamaa sana, anataka na siasa.

Kajipachika pale kwa utopolo kumbe ana mipango mirefu.

Na akipita hapo uwaziri wa michezo uleee....
 
ukiwa na maana mimi tajiri?
 
Mimi ningalimshauri engineer akawekeza zaidi ktk maisha yake baada ya kufa, mipira , siasa ni ya muda mfupi tu badala ya kujenga madrasa, misaada ktk misikitini ndio bora zaidi
Hakuna maisha baada ya kufa.
Ukifa unapoteza kumbukumbu, uhai wako unahama kwako unaenda kwa viumbe wengine watakao tumia mabaki yako kama chakula au kirutubisho.
You will become null and void.
Mengine ni kutishana tu ili ufuate mashariti na mafundisho ya dini.
 
Tanzania habari za nani anajipanga kugombea wapi ndizo taarifa kubwa kuliko maendeleo, katiba mpya na kadhalika.

Ndugu zangu. Huu uzombi ututoke. CCM inapaswa kupigwa chini nchi nzima
Umeandika jambo kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…