Pre GE2025 Ndugai huna chako Jimbo la Kongwa, Hersi Said wa Yanga ni Mbunge ajae Kongwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Agombei ila mpango wake ni kurithisha jimbo kama wafanyavyo wanasiasa wengi wa Afrika urithisha madaraka
 
Injinia Hersi amesoma elimu ya sekondari Dodoma mjini na kwao ni hapo Dodoma maeneo ya Maili mbili.Ila chuo ndiyo kasoma DIT. Kama ni kweli anagombea Kibaigwa ni sawa tu.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Waamuzi si wapigakura?
 
Hawa wote hawafai. Tena huyo sijui Hersi ndiyo kabisaa, ni bomu. Halafu huyo mtu aliye nyuma yake GSM ni hatari kwa taifa.
 
Mimi ningalimshauri engineer akawekeza zaidi ktk maisha yake baada ya kufa, mipira , siasa ni ya muda mfupi tu badala ya kujenga madrasa, misaada ktk misikitini ndio bora zaidi
Aliyetoa mil 700 una ujumbe gani kwake?
 
Muda Ukifika Engineer Anakatwa Jina Basi, Kazi Inakwisha
 
Eng angejikita kwenye Uongozi wa Mpira hasa kupata nafasi CAF na FIFA mbona zipo wazi kama anafanya vizuri kwenye klabu anayoongoza huku kwenye siasa wanampoteza kama kweli ataenda kugombea..
 
Inasemekana Ndugai ataazimwa na CHADEMA awe mgombea wao wa urais.
 
Wagogo watakubari kuongozwa na msomali
 
Kama yanga inakesi nying fifa za kudaiwa tanzania tutakua na kesi nyingi mahakama ya kibiashara za kudaiwa
 
Kwani wanafuatiliaga siasa za Tanzania basi, Ndugai alishatangaza hadharani 2020 ndio mwisho.
Wee jamaa unajifanyaga mjuajia sana. Si usome uzi wote vizuri? Mleta mada kakiri hilo na amesema Ndugai anataka kumuweka mke wake awe mbunge.
 
Yeye alishasema anastaafu pia jua kuwa ataendelea kupata mshahara na marupurupu ya uspika mpaka kifo. Sasa shida iko wapi hapo!
Si usome uzi wote vizuri? Mleta mada kakiri hilo na amesema Ndugai anataka kumuweka mke wake awe mbunge.
 
Si usome uzi wote vizuri? Mleta mada kakiri hilo na amesema Ndugai anataka kumuweka mke wake awe mbunge.
 
Asubiri tu kujizuru yeye mwenyewe tu huyo mwanakulitafuta halafu iwe ndio basi tena.

Asiseme hatukumwambia.

Ajidhatiti haswaa kama wakazi wa KIKATITI Arusha walivyojidhatiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…