Pre GE2025 Ndugai huna chako Jimbo la Kongwa, Hersi Said wa Yanga ni Mbunge ajae Kongwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ningejua hutotoa sababu za kwanini anataka kugombea nisingesoma mpaka mwisho..,ni ujinga kutuletea vitu kwa episode/nusunusu utafikiria kuna mtu alikuomba kuleta hii mada humu.
 
Akiwa Spika aliwakaanga wabunge kwa jeuri ya kejeli - kama ninkweli basi zamu yake ishafika yaani watu wanamaliza shughuli kwa mafuta yake.
 
Wee jamaa unajifanyaga mjuajia sana. Si usome uzi wote vizuri? Mleta mada kakiri hilo na amesema Ndugai anataka kumuweka mke wake awe mbunge.
Jitahidi sana kuto invest emotions kwa wachangiaji wa mitandaoni. Watu ambao hamjuani na pengine amto kuja kukutana kwenye maisha yenu.

Kumuona mtu anajua au la ni subjective kutokana na uelewa wa muhusika. Vinginevyo ukiona jitu linakukera lipotezee tu,
 
Ndugai alisema hagombei tena ubunge mda sana
 
Fikiria tunamwona injinia siku hiyo yuko hivi

 
Ndugai apumzike tu! Mafao anayopata kama Supika mstaafu ni makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…