Lamisa Danish
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 284
- 627
Ujinga mtupu. Job amefanya makosa ya wazi kabisa na hata kama angeyafanya wakati wa Jiwe angetimuliwa vilevile.
Hata kama kweli unaongelea wapi? Je hapakuwa na pakusemea?Kosa Lake Nini Kuongea Ukweli Au?
Hivi haya niya kweli?Spika hajajiuzulu.
Sijui hata imekuwaje,, huenda alikamatwa akafichwa na barua ikaandikwa.
Wamemuachia amekanushaView attachment 2071317
Port unafikiri yeye haogopi wasiojulikana, huyu tayari ameshawekwa kundi la wasioaminika, lazima wasiojulikana wako nyuma yake, akisanua atasannuliwa na hatofanikiwa usishangae na ile kinga ya kutoshitakiwa ikaondolewa na akaelekea Segerea. Nafuu yake ni kukaa kimya kabisaNakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali nawe 'msanue' na 98% ya Watanzania 'tunaokusapoti' tutakulinda tu dhidi ya Wanyama Wakali na Hatari wa Msaada Kontena Oysterbay kama wakitaka Kukunyoosha mazima.
Usituangushe Spika Ndugai msanue tu.
Ukweli upi? Kwamba wananchi wakamuliwe tozo zaidi ipatikane fedha ya kujenga miradi mikubwa?Kosa Lake Nini Kuongea Ukweli Au?
Lugha ngumu hii mkuu.. Mie mfatiliaji sana wa comment na thread zako.. bado naona hapa kuna jambo.. hutaki kulisemaNi kwamba Team MSG ina nguvu kuliko timu ya kawaida.
Team MSG ina kambi kabisa ya wale jamaa ambao aliwasema SloSlow na hawa ni hatari sana maana walijengwa na kuimarishwa between 2005 na 2015.
Lengo kuu ni kutumika kwenye makusudio maalum.
Hivyo hata DG wa mazee nae yupo matatani lakini bado alindwa na mjeda mkuu na wengine walomshika mama sikio siku ile ya maziko Chatou.
Ila mpaka sasa haijasawazishwa rasi hivyo yabakia bado mama ni 2021-2025 only.
Lakini operesheni maalum ya kumsaidia ili kuficha mazito yanoweza kuibuliwa khasa kuhusu JPM ndio imeanza.
Sasa mimi nipo Fort Green na nyeti nizipatazo zikiwa bado kwa kiingereza twasema "patchy".
Ila Magamba Matatu yumo ndani ya parametres, tumsikilize na kumfuatilia.
Ajaribu aone watakavyo kamua hizo kengele zake.Nakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali nawe 'msanue' na 98% ya Watanzania 'tunaokusapoti' tutakulinda tu dhidi ya Wanyama Wakali na Hatari wa Msaada Kontena Oysterbay kama wakitaka Kukunyoosha mazima.
Usituangushe Spika Ndugai msanue tu.
Ukishapewa V8, nyumba, maji ,umeme bure maana yake swim with the current. Hata ukiona wanyonge tunaumia wewe hutakiwi kusema. You are part of the exploiting system.Hata kama kweli unaongelea wapi? Je hapakuwa na pakusemea?
Hata kama kweli unaongelea wapi? Je hapakuwa na pakusemea?
Ukweli upi? Kwamba wananchi wakamuliwe tozo zaidi ipatikane fedha ya kujenga miradi mikubwa?
Code ulizotumia zimeniacha kwenye mataa!Ni kwamba Team MSG ina nguvu kuliko timu ya kawaida.
Team MSG ina kambi kabisa ya wale jamaa ambao aliwasema SloSlow na hawa ni hatari sana maana walijengwa na kuimarishwa between 2005 na 2015.
Lengo kuu ni kutumika kwenye makusudio maalum.
Hivyo hata DG wa mazee nae yupo matatani lakini bado alindwa na mjeda mkuu na wengine walomshika mama sikio siku ile ya maziko Chatou.
Ila mpaka sasa haijasawazishwa rasi hivyo yabakia bado mama ni 2021-2025 only.
Lakini operesheni maalum ya kumsaidia ili kuficha mazito yanoweza kuibuliwa khasa kuhusu JPM ndio imeanza.
Sasa mimi nipo Fort Green na nyeti nizipatazo zikiwa bado kwa kiingereza twasema "patchy".
Ila Magamba Matatu yumo ndani ya parametres, tumsikilize na kumfuatilia.
Mkuu Gent, haumtakii mema mzee Ndugai. Hawezi abadan kushindana na DOLA. Vyivyote ilivyo, uamuzi aliochukua ni wa busara. Aende Kongwa aendeleze kilimo cha karanga na Mizabibu.Nakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali nawe 'msanue' na 98% ya Watanzania 'tunaokusapoti' tutakulinda tu dhidi ya Wanyama Wakali na Hatari wa Msaada Kontena Oysterbay kama wakitaka Kukunyoosha mazima.
Usituangushe Spika Ndugai msanue tu.
Ukijua maana ya kiapo hutarudia kuuliza tena swali kama hiliKwani Ni Kosa Kisheria Kuongea Popote
Pia ana ng'mbe wengi tu afuga wakitoa maziwa ya kutosha livestock farmer.Mkuu Gent, haumtakii mema mzee Ndugai. Hawezi abadan kushindana na DOLA. Vyivyote ilivyo, uamuzi aliochukua ni wa busara. Aende Kongwa aendeleze kilimo cha karanga na Mizabibu.
Magamba Matatu is JF member.Code ulizotumia zimeniacha kwenye mataa!
.."magamba matatu",.."DG"... Haya maneno nimeyageuzageuza yamenishinda kuleta maana.
Embu ya decode mzee ili twende pa1.
Lugha ngumu hii mkuu.. Mie mfatiliaji sana wa comment na thread zako.. bado naona hapa kuna jambo.. hutaki kulisema.