Ndugai kwakuwa 'Umesanuliwa' tafadhali nawe usikubali, bali 'Kisanue' ili Watanzania tujue mengi yanayosemekana yamejificha na hayavumiliki kabisa

Nakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali nawe 'msanue' na 98% ya Watanzania 'tunaokusapoti' tutakulinda tu dhidi ya Wanyama Wakali na Hatari wa Msaada Kontena Oysterbay kama wakitaka Kukunyoosha mazima.

Usituangushe Spika Ndugai msanue tu.
Port unafikiri yeye haogopi wasiojulikana, huyu tayari ameshawekwa kundi la wasioaminika, lazima wasiojulikana wako nyuma yake, akisanua atasannuliwa na hatofanikiwa usishangae na ile kinga ya kutoshitakiwa ikaondolewa na akaelekea Segerea. Nafuu yake ni kukaa kimya kabisa
 
Ni kwamba Team MSG ina nguvu kuliko timu ya kawaida.

Team MSG ina kambi kabisa ya wale jamaa ambao aliwasema SloSlow na hawa ni hatari sana maana walijengwa na kuimarishwa between 2005 na 2015.

Lengo kuu ni kutumika kwenye makusudio maalum.

Hivyo hata DG wa mazee nae yupo matatani lakini bado alindwa na mjeda mkuu na wengine walomshika mama sikio siku ile ya maziko Chatou.

Ila mpaka sasa haijasawazishwa rasi hivyo yabakia bado mama ni 2021-2025 only.

Lakini operesheni maalum ya kumsaidia ili kuficha mazito yanoweza kuibuliwa khasa kuhusu JPM ndio imeanza.

Sasa mimi nipo Fort Green na nyeti nizipatazo zikiwa bado kwa kiingereza twasema "patchy".

Ila Magamba Matatu yumo ndani ya parametres, tumsikilize na kumfuatilia.
Lugha ngumu hii mkuu.. Mie mfatiliaji sana wa comment na thread zako.. bado naona hapa kuna jambo.. hutaki kulisema
 
Si ndo hivyo mimi natakaaaa! Nataka atueleze ile siku ya uzuni ilikuwaje?hapo ndo stakuwa kaachia nafasi kiume.tutamlinda😂
 
Nakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali nawe 'msanue' na 98% ya Watanzania 'tunaokusapoti' tutakulinda tu dhidi ya Wanyama Wakali na Hatari wa Msaada Kontena Oysterbay kama wakitaka Kukunyoosha mazima.

Usituangushe Spika Ndugai msanue tu.
Ajaribu aone watakavyo kamua hizo kengele zake.
Akae akijua wasiojulikana hawana dini.
 
Hata kama kweli unaongelea wapi? Je hapakuwa na pakusemea?
Ukishapewa V8, nyumba, maji ,umeme bure maana yake swim with the current. Hata ukiona wanyonge tunaumia wewe hutakiwi kusema. You are part of the exploiting system.
Wewe unafikiri wabunge wa CCM wakisema ' ndioooo' hawana akili? Of course ukiondoa kibajaj na building and finance
 
Ni kwamba Team MSG ina nguvu kuliko timu ya kawaida.

Team MSG ina kambi kabisa ya wale jamaa ambao aliwasema SloSlow na hawa ni hatari sana maana walijengwa na kuimarishwa between 2005 na 2015.

Lengo kuu ni kutumika kwenye makusudio maalum.

Hivyo hata DG wa mazee nae yupo matatani lakini bado alindwa na mjeda mkuu na wengine walomshika mama sikio siku ile ya maziko Chatou.

Ila mpaka sasa haijasawazishwa rasi hivyo yabakia bado mama ni 2021-2025 only.

Lakini operesheni maalum ya kumsaidia ili kuficha mazito yanoweza kuibuliwa khasa kuhusu JPM ndio imeanza.

Sasa mimi nipo Fort Green na nyeti nizipatazo zikiwa bado kwa kiingereza twasema "patchy".

Ila Magamba Matatu yumo ndani ya parametres, tumsikilize na kumfuatilia.
Code ulizotumia zimeniacha kwenye mataa!

.."magamba matatu",.."DG"... Haya maneno nimeyageuzageuza yamenishinda kuleta maana.

Embu ya decode mzee ili twende pa1.
 
Nakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali nawe 'msanue' na 98% ya Watanzania 'tunaokusapoti' tutakulinda tu dhidi ya Wanyama Wakali na Hatari wa Msaada Kontena Oysterbay kama wakitaka Kukunyoosha mazima.

Usituangushe Spika Ndugai msanue tu.
Mkuu Gent, haumtakii mema mzee Ndugai. Hawezi abadan kushindana na DOLA. Vyivyote ilivyo, uamuzi aliochukua ni wa busara. Aende Kongwa aendeleze kilimo cha karanga na Mizabibu.
 
sio dip state wala inner circle ni mtupu tu kama sie.... nchi ina mengi sana hii...kifupi nikatika waliookotwa jalaani..
 
Mkuu Gent, haumtakii mema mzee Ndugai. Hawezi abadan kushindana na DOLA. Vyivyote ilivyo, uamuzi aliochukua ni wa busara. Aende Kongwa aendeleze kilimo cha karanga na Mizabibu.
Pia ana ng'mbe wengi tu afuga wakitoa maziwa ya kutosha livestock farmer.
 
Code ulizotumia zimeniacha kwenye mataa!

.."magamba matatu",.."DG"... Haya maneno nimeyageuzageuza yamenishinda kuleta maana.

Embu ya decode mzee ili twende pa1.
Magamba Matatu is JF member.

DG is director general.

Naomba niishie hapo.
 
Back
Top Bottom