Ndugai kwakuwa 'Umesanuliwa' tafadhali nawe usikubali, bali 'Kisanue' ili Watanzania tujue mengi yanayosemekana yamejificha na hayavumiliki kabisa

Hehehheehhe unataka wamtoe roho bila ganzi....
 
Pia ana ng'mbe wengi tu afuga wakitoa maziwa ya kutosha livestock farmer.
Kabisa. Aende akatulie na ale vyake kwa amani. Cha muhimu, achunge mdomo wake. Uzuri wa CCM, akijituliza kama maji mtungini, hawatamsahu. Utasikia Ndugai kachomekwa kwenye bodi ya wakurugenzi kwenye shirika fulani la umma, au Chancellor wa Chuo cha Serikali. Ukichunga ulimi wako, CCM itakukumbuka tu. Akamuulize Nape Mnauye.
 
Wanaprotokali zao. Sikupenda pia jinsi alivyowasilisha na kuna clip nyingine inaonyesha kabisa ana shida na mama kua pale. Kauli zake bungeni pia sio nzuri. Akapumzike tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…