Ndugai kwakuwa 'Umesanuliwa' tafadhali nawe usikubali, bali 'Kisanue' ili Watanzania tujue mengi yanayosemekana yamejificha na hayavumiliki kabisa

Ndugai kwakuwa 'Umesanuliwa' tafadhali nawe usikubali, bali 'Kisanue' ili Watanzania tujue mengi yanayosemekana yamejificha na hayavumiliki kabisa

Nakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali nawe 'msanue' na 98% ya Watanzania 'tunaokusapoti' tutakulinda tu dhidi ya Wanyama Wakali na Hatari wa Msaada Kontena Oysterbay kama wakitaka Kukunyoosha mazima.

Usituangushe Spika Ndugai msanue tu.
Hehehheehhe unataka wamtoe roho bila ganzi....
 
Pia ana ng'mbe wengi tu afuga wakitoa maziwa ya kutosha livestock farmer.
Kabisa. Aende akatulie na ale vyake kwa amani. Cha muhimu, achunge mdomo wake. Uzuri wa CCM, akijituliza kama maji mtungini, hawatamsahu. Utasikia Ndugai kachomekwa kwenye bodi ya wakurugenzi kwenye shirika fulani la umma, au Chancellor wa Chuo cha Serikali. Ukichunga ulimi wako, CCM itakukumbuka tu. Akamuulize Nape Mnauye.
 
Wanaprotokali zao. Sikupenda pia jinsi alivyowasilisha na kuna clip nyingine inaonyesha kabisa ana shida na mama kua pale. Kauli zake bungeni pia sio nzuri. Akapumzike tu.
 
Back
Top Bottom