Hiyo ni hoja dhaifu.... Dhaifuuu.....Ndugai sio mtu anayefaa kuwa kiongozi lakini ukiwa mtu wa kupinga kila kitu wewe utakuwa mwendawazimu hauko sawa
Mbali na kuongea Ndugai Mimi mwenyewe nalifahamu hilo nime confirm tu kwamba yuko sahihi
havitengani hivyo vitu,vimo vya watanzania vimepungua sana kizazi hiki kisa mlo kamili ni tabu,nafasi anayocheza messi kimo si hitaji muhimu,plus messi si mchezaji wa kawaida
Kwahiyo Kwa akili yako ilivyo fupi mh ndugai Senegal Wana miili mikubwa Kwa sababu wanakula vizuri??? What a waste! Imagine huyu ni spika wa Bunge!
Na siyo huyu tu. Watatokea ''wataalam'' wengi sana ku-analyse sababu ya kufungwa. Tu nchi ya watu watu wa ajabu sijawahi kuona. Tumefanana na yale manyani kwenye hadithi yanakumbuka kuambiana kujenga nyumba kila inyashapo mvua lakini mara ikiacha yanasahau. Tanzania haitaweza kuendelea kimpira kwa kutumia ujanja ujanja na short cut. Mpira hujifunzwa tangu utotoni. Kwa nini tunashindwa kuanzisha Football Academy School hata tatu tu kwa kuanzia moja iwe eg Mwanza, nyingine Dar na ya mwisho Mbeya. Hizi shule zichukue watoto wa miaka 7 waanze darasa la kwanza huku soccer ikiwa kama major yao. Wasome na masomo mengine ya kawaida. Tuwaendeleze mpaka watakapofikia miaka 18, 19 hadi ishirini hatutakosa wachezaji wazuri kama thelathini hadi arobaini hivi. Bila kufanya hivyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu tu! Wenzetu ndivyo wanavyofanya! Ni miaka kama kumi tu tutaanza kuona matokeo yake!
we jamaa bana..korea,china wanacheza na nani!?..hivi kessy ashindane na koulibaly!!..ulimuona yondani alivyopata tabu wakati kwetu huku ni mbabe?..uliona bocco na ulimwengu walivyokua comfortable...fei toto angekabana vp na ile mijitu pale kati wakati ana kilo 50 wenzake 85Unamaanisha wachezaji wote wafupi wanatatizo la lishe? Japan, China, Korea kusini kote huko wachezaji wana Vimo vidogo, je hiyo sababu yako ina nafasi hapo? Ni hivi, Ndugai kazungumza kienyeji kama mtu wa mtaani lakini hajui lolote kuhusu soka. Kama kweli kwake lishe ingekuwa ndio sababi ya Stars kushindwa, basi wakati timu imefuzu kwenda Afcon angeweka hilo wazi. Umbile lingekuwa kigezo kwenye soka basi wachezaji wangepimwa uzito kama kwenye ndondi.
Roberto Carlos tena?Midfielder bora Roberto Carlos,Gatuso,Paul Scholes na mpaka sasa Kante anakimbiza Premier league, bila ya kuwasahau wataalamu wa wataalamu Maradona na Messi, mpira ni kipaji si umbile. Huyu jamaa anakipaji cha kuwanyanyasa wapinzani bungeni aendelee na kipaji chake mambo ya soka aachane nayo.
we jamaa bana..korea,china wanacheza na nani!?..hivi kessy ashindane na koulibaly!!..ulimuona yondani alivyopata tabu wakati kwetu huku ni mbabe?..uliona bocco na ulimwengu walivyokua comfortable...fei toto angekabana vp na ile mijitu pale kati wakati ana kilo 50 wenzake 85
Mkuu kama kimo ni kigezo basi Messi au Maradona wasingekuwa wachezaji nyota.
Uliuangalia mchezo huku umevaa miwani ya ufipa...nilivyouangalia ule mchezo sikuona kama Wasenegali walituzidi kwasababu tuna maumbo madogo kulinganisha na wao...
Wetu hawana exposure na experience waliyonayo wa Senegal. Sasa Mudathir utamlinganisha vp na Gueye anayecheza Everton?Mkuu Messi pamoja na kimo kidogo amefidia kwenye misuli na nguvu za miguu kifupi stamina ya kitosha chini, ndio maana Messi akiweka mpira kwenye miguu yake kumpokonya au kumtoa kwenye reli ni ngumu, Maradona pia alikuwa mfupi lakini stamina ya mwili na miguu ilikuwa kubwa..
Wetu hawa hawana kila kitu...
Mambo ya udumavu unaosababishwa na lishe duni upo lakini pia ni species za kitanzania,waganda wana Vimo vya average ya John Boko lakini waliwamudu wakongo wenye miili dizaini ya Senegal urefu na unene
Ko sio sahihi moja kwa moja kusema hiyo ndio sababu,kwa mpira gani tuliocheza hadi hiyo iwe sababu? Species za West/Central and North Africa ni giants kuliko east Africa anbapo wengi ni moderate,wasukuma ni jamii ya west africa
Uliuangalia mchezo huku umevaa miwani ya ufipa.