data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Hiyo ni hoja dhaifu.... Dhaifuuu.....Ndugai sio mtu anayefaa kuwa kiongozi lakini ukiwa mtu wa kupinga kila kitu wewe utakuwa mwendawazimu hauko sawa
Mbali na kuongea Ndugai Mimi mwenyewe nalifahamu hilo nime confirm tu kwamba yuko sahihi
Yani kama ni katika essay hiyo hulambi marks hata moja.. Kuna sababu nyingi za msingi kufanya vibaya...