Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Haya sawa...hili siyo suala la lumumba vs ufipa....
Mambo ya udumavu unaosababishwa na lishe duni upo lakini pia ni species za kitanzania,waganda wana Vimo vya average ya John Boko lakini waliwamudu wakongo wenye miili dizaini ya Senegal urefu na unene
Ko sio sahihi moja kwa moja kusema hiyo ndio sababu,kwa mpira gani tuliocheza hadi hiyo iwe sababu? Species za West/Central and North Africa ni giants kuliko east Africa anbapo wengi ni moderate,wasukuma ni jamii ya west africa
Jiwe awe wa west kwani mrefu? Si ndio common type za kibongo?Kwa hiyo Jiwe wa West????!!! Sasa hiyo 9 spika mwenyewe mdumavu na anamjua Diego, Mesi au Salah??? Mengine yaacheni yapite tu
Jiwe awe wa west kwani mrefu? Si ndio common type za kibongo?
Nachokataa ufupi kwa wabongo iko related na specie na genes kuliko lishe duni,ingekuwa ni lishe basi warefu wote wangekuwa smart kichwani na wafupi wote wangekuwa dungaembe sasa haiko hivyo
Kingine hata utumwa ulikuwa zaidi West Africa ambako kuna giants people kuliko east Afrika ambako waarabu waliiga tu,kule watu ni wakubwa ila hawana akili ile miili ni kukabiliana na harsh conditions
Nawe unaungana na sabufa?Acha upimbi kuwa na mwili ambao umeshiba sio lazima uwe na kitambi wewe.Umemuona Samatta alivyo na nguvu kuliko hata john Bocco ambae mwili mkubwa tu lakini nguvu hana.
Ndio!Amegundua Hili baada ya kufungwa?
..nilivyouangalia ule mchezo sikuona kama Wasenegali walituzidi kwasababu tuna maumbo madogo kulinganisha na wao.
..Kwa maoni yangu, wachezaji waliokuwa uwanjani wana miili inayowawezesha kushindana ktk mechi za kiwango chochote kile.
Wachezaji wetu hawajapitia misingi ya mpira wamejikuza wenyewe tu,tukiwekeza ndiyo tulaumu saizi hakuna mtu wa kumnyoshea kidole mwenzakeDar es Salaam. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema miongoni mwa sababu iliyochangia Stars kupoteza mchezo wa kwanza jana dhidi ya Senegal ni lishe duni ya wachezaji wetu.
Spika Ndugai ameyasema hayo muda mfupi baada ya kuwasili Dar es Salaam akitokea Misri aliposhuhudia mchezo wa kwanza wa Kombe la Mataifa ya Afrika kati ya Senegal na Tanzania uliomalizika kwa Taifa Stars kuchapwa 2-0.
Ndugai alisema ukiangalia kwa umakini utaona wale wachezaji wa timu pinzani walikuwa na miili mizuri ambayo inatokana na lishe nzuri.
"Kuna umuhimu wa kuwapa wachezaji wetu lishe nzuri ya kutosha ili kushindana na wapinzani wa aina ya Senegal," alisema Ndugai.
Katika hatua nyingine Ndugai alisema viongozi wengi wa soka na michezo mingine hapa nchini siyo watu sahihi wa kuongoza.
Source : Mwananchi
Mkuu world cup ya mwaka gani? Ila mpira unachezwa na akili siyo umbo ila hilo la china MmmhKweli kbs najaribu kuwatafakari wachina wana umbo dogo lkn wapo World Cup
Chips oyeeeeee....Ni Kweli.
Wachezaji wetu wana tatizo la Lishe Duni.
Mishahara wanayopata haikidhi kupata chakula kinacho kidhi kwa mchezaji wa Soka.
Pia hawali kutokana na maagizo ya wataalamu wa afya ya Soka.
Mbali ya Lishe wabantu sisi wengi wetu ni mbegu fupiwatanzania wengi tu wafupi mno, sijui shida nini? ila uliwahi kufanyika utafiti ikaonekana tatizo ni lishe pia.
Ndo maana huko maofisini ukionekana mrefu sana unaanza kuulizwa kuhusu uraia wako[emoji3],Mbali ya Lishe wabantu sisi wengi wetu ni mbegu fupi