Wewe umeshaifanyia nini jamii hata ya mtaani kwako? Utakuta we ni mtu ambaye ni bure tu hata kwa familiaNdugai ni empty kichwani
Akajifanye anawasaidia wengne huko kwake tume wakirudisha jina lolote kaishaa
Muulize wapinzani ndio walibomoa matundu ya vyoo kongwa?
Kwahio ulitaka wasifu ccm wamenunua ndege?Siasa za upinzani za kitoto mno mfano unakuta wanapinga umunuzi wa ndege ili ubaki huna ndege ukibaki huna ndege uchaguzi ukiwa wanaanza kuponda nchi gani isiyokuwa na ndege ndege mijini tupeni kura tutanunua ndege
Upinzani wa Tanzania ni wa kitoto na wa kijinga
Ukijua maana ya ‘PRIORITIES’ utaacha kuhoji mambo ya kitoto.Siasa za upinzani za kitoto mno mfano unakuta wanapinga umunuzi wa ndege ili ubaki huna ndege ukibaki huna ndege uchaguzi ukiwa wanaanza kuponda nchi gani isiyokuwa na ndege ndege mijini tupeni kura tutanunua ndege
Upinzani wa Tanzania ni wa kitoto na wa kijinga
Yaani ni aibu miaka yote jimbo halina maji na ni chama cha CCM kinaongoza halafu wanaongea kama wapinzani ndo wamezuia maji kuja dah na wanachi wanashangilia hii nchi ngumu sanaKwani jimbo la Kondoa kabla lilikuwa likiongozwa na Upinzani kiasi kwamba ndio hakuna maji kwa kuwa Wapinzani wamepinga kuwepo maji Kondoa naomba majibu ya nguvu au hoja hai please
Huenda amehakikishiwa hivyo na mwenyekiti wa chama chake.Hivi Speaker Ndugai anaamini kuwa ataendelea kuwa speaker wa bunge ?
Jimbo la Kongwa wanalia nawe upo ccm tena spika ,umepeleka maendeleo Jimbo la Kongwa?CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kondoa kimezindua rasmi kampeni zake za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mji, Makoa Ally ambapo mgeni rasmi alikua Spika wa Bunge na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Job Ndugai.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Spika Ndugai amewaomba wananchi wa Kondoa wasifanye makosa katika kuchagua wawakilishi wanaojua kero zao na wenye kuweka mbele maslahi yao ili waweze kuwasemea.
" Ndugu zangu nyie wote mmejionea jinsi Dk Magufuli alivyoufanya mkoa wetu wa Dodoma kupanda chati, uchumi wetu sasa hivi umekua baada ya kuwa makao makuu ya serikali huku yeye mwenyewe akihamia hapa, nini cha kumpa zaidi ya kura za kishindo?
Mimi ndio Spika wa Bunge, nawajua wabunge wote, hao wapinzani hawajawahi kuwatakia maendeleo watanzania maana wao kila kitu hupinga tu, wanasema Rais anatumia hela hovyo kununua Ndege lakini kesho utawakuta wamezipanda, wanatumia barabara za lami kwenye kampeni zao lakini wanasema hakuna lililofanyika.
Kondoa ni wakati wa kuamka na kutoa kura nyingi za kuwafanya wapinzani wajute kwanini wameshiriki uchaguzi huu, niwahakikishieni mkimleta Makoa bungeni nitamsaidia sana katika kuwaletea maendeleo," Amesema Ndugai.
Kwa upande wake mgombea Ubunge wa Jimbo hilo la Kondoa Mji, Makoa Ally amesema anafahamu changamoto nyingi zinazowakabili wananchi wa Kondoa lakini kero ya Maji ndio kipaumbele chake cha kwanza.
" Najua kuna mambo mengi ya kufanya ila nyinyi wenyewe ni mashahidi kwamba hakuna jambo la muhimu Kondoa kwa sasa kama Maji, niwaombe nipeni ridhaa ya kuwa Mbunge wenu nikashughulike na maji ili dhana ya kumtua mwanamama ndoo kichwani iweze kutumia," Amesema Makoa.
Naye Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na msanii wa Bongo Fleva, Keisha amewaomba watanzania na wananchi wa Kondoa kuchagua mafiga matatu ya CCM ili yaweze kufanya kazi kwa ushirikiano na kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.
" Chagueni Rais, Wabunge na Madiwani wetu, msipowachague wote kwa pamoja mnakwamisha maendeleo maana wapinzani wale ni kupinga tu sasa watu wanaopinga maendeleo ni ngumu kuikumbusha serikali iwajengee visima vya maji maana wao wanasubiri serikali ijenge ili wapinge, naombeni msifanye kosa Oktoba 28, kura zote kwa CCM," Amesema Keisha.
Jamaa hata hajui kazi ya upinzaniSasa mpinzani asipopinga atafanya kazi gani??,wapinzani hupinga ili aliyopo madarakani arekebishe.
Na Sisi tunamfahamu vizuri kuwa ni mgonjwa wa akili ndiyo maana anajiita spika wakati Bunge limeshavunjwa kitambo tu.CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kondoa kimezindua rasmi kampeni zake za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mji, Makoa Ally ambapo mgeni rasmi alikua Spika wa Bunge na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Job Ndugai.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Spika Ndugai amewaomba wananchi wa Kondoa wasifanye makosa katika kuchagua wawakilishi wanaojua kero zao na wenye kuweka mbele maslahi yao ili waweze kuwasemea.
" Ndugu zangu nyie wote mmejionea jinsi Dk Magufuli alivyoufanya mkoa wetu wa Dodoma kupanda chati, uchumi wetu sasa hivi umekua baada ya kuwa makao makuu ya serikali huku yeye mwenyewe akihamia hapa, nini cha kumpa zaidi ya kura za kishindo?
Mimi ndio Spika wa Bunge, nawajua wabunge wote, hao wapinzani hawajawahi kuwatakia maendeleo watanzania maana wao kila kitu hupinga tu, wanasema Rais anatumia hela hovyo kununua Ndege lakini kesho utawakuta wamezipanda, wanatumia barabara za lami kwenye kampeni zao lakini wanasema hakuna lililofanyika.
Kondoa ni wakati wa kuamka na kutoa kura nyingi za kuwafanya wapinzani wajute kwanini wameshiriki uchaguzi huu, niwahakikishieni mkimleta Makoa bungeni nitamsaidia sana katika kuwaletea maendeleo," Amesema Ndugai.
Kwa upande wake mgombea Ubunge wa Jimbo hilo la Kondoa Mji, Makoa Ally amesema anafahamu changamoto nyingi zinazowakabili wananchi wa Kondoa lakini kero ya Maji ndio kipaumbele chake cha kwanza.
" Najua kuna mambo mengi ya kufanya ila nyinyi wenyewe ni mashahidi kwamba hakuna jambo la muhimu Kondoa kwa sasa kama Maji, niwaombe nipeni ridhaa ya kuwa Mbunge wenu nikashughulike na maji ili dhana ya kumtua mwanamama ndoo kichwani iweze kutumia," Amesema Makoa.
Naye Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na msanii wa Bongo Fleva, Keisha amewaomba watanzania na wananchi wa Kondoa kuchagua mafiga matatu ya CCM ili yaweze kufanya kazi kwa ushirikiano na kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.
" Chagueni Rais, Wabunge na Madiwani wetu, msipowachague wote kwa pamoja mnakwamisha maendeleo maana wapinzani wale ni kupinga tu sasa watu wanaopinga maendeleo ni ngumu kuikumbusha serikali iwajengee visima vya maji maana wao wanasubiri serikali ijenge ili wapinge, naombeni msifanye kosa Oktoba 28, kura zote kwa CCM," Amesema Keisha.
hiyo ni kweli kabisaCHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kondoa kimezindua rasmi kampeni zake za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mji, Makoa Ally ambapo mgeni rasmi alikua Spika wa Bunge na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Job Ndugai.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Spika Ndugai amewaomba wananchi wa Kondoa wasifanye makosa katika kuchagua wawakilishi wanaojua kero zao na wenye kuweka mbele maslahi yao ili waweze kuwasemea.
" Ndugu zangu nyie wote mmejionea jinsi Dk Magufuli alivyoufanya mkoa wetu wa Dodoma kupanda chati, uchumi wetu sasa hivi umekua baada ya kuwa makao makuu ya serikali huku yeye mwenyewe akihamia hapa, nini cha kumpa zaidi ya kura za kishindo?
Mimi ndio Spika wa Bunge, nawajua wabunge wote, hao wapinzani hawajawahi kuwatakia maendeleo watanzania maana wao kila kitu hupinga tu, wanasema Rais anatumia hela hovyo kununua Ndege lakini kesho utawakuta wamezipanda, wanatumia barabara za lami kwenye kampeni zao lakini wanasema hakuna lililofanyika.
Kondoa ni wakati wa kuamka na kutoa kura nyingi za kuwafanya wapinzani wajute kwanini wameshiriki uchaguzi huu, niwahakikishieni mkimleta Makoa bungeni nitamsaidia sana katika kuwaletea maendeleo," Amesema Ndugai.
Kwa upande wake mgombea Ubunge wa Jimbo hilo la Kondoa Mji, Makoa Ally amesema anafahamu changamoto nyingi zinazowakabili wananchi wa Kondoa lakini kero ya Maji ndio kipaumbele chake cha kwanza.
" Najua kuna mambo mengi ya kufanya ila nyinyi wenyewe ni mashahidi kwamba hakuna jambo la muhimu Kondoa kwa sasa kama Maji, niwaombe nipeni ridhaa ya kuwa Mbunge wenu nikashughulike na maji ili dhana ya kumtua mwanamama ndoo kichwani iweze kutumia," Amesema Makoa.
Naye Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na msanii wa Bongo Fleva, Keisha amewaomba watanzania na wananchi wa Kondoa kuchagua mafiga matatu ya CCM ili yaweze kufanya kazi kwa ushirikiano na kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.
" Chagueni Rais, Wabunge na Madiwani wetu, msipowachague wote kwa pamoja mnakwamisha maendeleo maana wapinzani wale ni kupinga tu sasa watu wanaopinga maendeleo ni ngumu kuikumbusha serikali iwajengee visima vya maji maana wao wanasubiri serikali ijenge ili wapinge, naombeni msifanye kosa Oktoba 28, kura zote kwa CCM," Amesema Keisha.
Ulivyoletwa mswada wa kufuta fao la kujitoa wabunge wa CCM woote walisema Ndiiiiiyo tena kwa vijembe.hiyo ni kweli kabisa
spika ndugai alikuwa akitumia muda mwingi kujaribu tuliza ghasia ambazo zote zilikuwa zikisababishwa na wabunge wa upinzani, hii inaonesha kuwa wao ni wapinagji na sio wajenga hoja ambayo kwa maana nyingine hawajadili masuala yanayohusu majimbo yao na wananchi wao kiujumla
hii inamaana ya kwamba hawazungumzii masuala ya maendeleo ya watu wao
Huyu ana stress tangu kampeni za uchaguzi zianze, amesahau kama yeye ni wa kike au wakiume.Mkuu naona umepanick hata kuweka koma na nukta umeshindwa!
Pia CCM ikishinda kwa idadi ya wabunge zaidi ya nusu, hata kama Tulia akishindwa Ubunge Mbeya, kwa katiba iliyopo ataweza kugombea na hata kupata UspikaHuko ni kukosa maarifa ya kutosha. Huyo yaweza kumkuta ya marehemu Sitta, endapo Tulia akishinda Mbeya mjini.
Ndugai hana akili mzuri, yaani kwake mbunge mzuri ni yule anaye kubali kuburuzwa tu bungeni?
Ubunge unaongeza nguvu ingawaje katiba ipo kimya kwenye hilo.Pia CCM ikishinda kwa idadi ya wabunge zaidi ya nusu, hata kama Tulia akishindwa Ubunge Mbeya, kwa katiba iliyopo ataweza kugombea na hata kupata Uspika