Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndugai amechoshwa na kauli za kishujaa kutoka zanzibar
No,mbilimbi mbovu,akiguswa anatumbuka.
Uongozi wa Pandu Ameir Kificho ni mzuri sana ukilinganisha na tuliouzoea. Ingewezekana tungempa aendelee mpaka mwisho.
Ngungai ameongea kitanganyika na kizalendo zaidi
Bora lawama kuliko fedheha.
Wagawane mbao kieleweke
Lukosi umeimpruvu sana katika siku mbili hizi, unatumia aloevera gel nini mkuu.
Ndugai anaposema "Mkileta lugha hizo tutagawana mbao hapa, na hapa ndio mahala pake" Anamaanisha nini huku akitolea mfano wa kauli ya mjume kutoka Zanzibar aliyesema Muungano umekuwa unawakandamiza wazinzibar?
Je ni vitisho dhidi ya wanzibar kuwa muda wowote wanaweza kugawana? Ameona kuwa atakuwa anawakomoa wanzibari?
Hata mimi naunga mkono tugawane mbao waende zao hao waunguja sijui wapemba hawana faida yoyote wanatutia hasara tu!kuna mjumbe mmoja kasema eti kama kamati zinaundwa kama kamati ni ya wajumbe 20 basi kumo wawe kutoka bata na kumi wawe ni kutoka zanzibar cammon are you crazy? Nyie mko 2.milion sisi tuko over 45.milion how comes tuwe sawa!embu kapanden boti mrudi kisiwan kula urojo mtuachie tanganyika yetu
He! wandugu mbona mmemtolea sana macho Ndugai kwa kauli yake ya kishujaa aliyoitoa?? Ndugai yuko sahihi kabisa, haiwezekan kabisa nchi kubwa yenye watu mil.45 ikubali kuburuzwa na kisiwa chenye wakaz wasiozidi mil.2 tu, kitakuwa kichekesho kikubwa endapo wajumbe wa upande wa Tanganyika watakuwa wapole na kushindwa kuwadhibiti hao wanyiabaharini. Mimi namuunga mkono Ndugai, kama vp tupoteane tu kwani kitu gani bwana na huu ndiyo wkt mwafaka kabisa kwetu TANGANYIKA KWANZA MUUNGANO BAADAYE.