Ndugai na wabunge wote warudishe posho walizolipwa wakati wanapitisha TOZO

Ndugai na wabunge wote warudishe posho walizolipwa wakati wanapitisha TOZO

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kwa kuwa rais amesema tozo ziangaliwe upya maana yake ni kwamba wabunge walipitisha kitu cha ajabu. Waliharibu kazi. Sasa adhabu yao ni nini? Warudishe posho.

Ndugai aliwatisha wabunge kwamba wasipopitisha bajeti rais atalivunja bunge. Aondoke!

Na hapa ndipo umuhimu wa katiba mpya unaonekana. Maana kwa namna walivyo haribu kazi ktk hizi tozo tungesaini petition na wote wangepoteza ubunge.
 
Kwa kuwa rais amesema tozo ziangaliwe upya maana yake ni kwamba wabunge walipitisha kitu cha ajabu. Waliharibu kazi. Sasa adhabu yao ni nini? Warudishe posho.

Na hapa ndipo umuhimu wa katiba mpya unaonekana. Maana kwa namna walivyo haribu kazi ktk hizi tozo tungesainj petition na wote wangepoyeza ubunge.
Hizo ni sanaa wataongezewa posho mkuu badala ya kupunguziwa sababu hii bajeti ilipita kwenye baraza la mawaziri
 
Kwa kuwa rais amesema tozo ziangaliwe upya maana yake ni kwamba wabunge walipitisha kitu cha ajabu. Waliharibu kazi. Sasa adhabu yao ni nini? Warudishe posho.

Na hapa ndipo umuhimu wa katiba mpya unaonekana. Maana kwa namna walivyo haribu kazi ktk hizi tozo tungesainj petition na wote wangepoyeza ubunge.
wanarudishaje posho, wakati hiyo tozo waliiweka ili waongezewe mshahara.
 
Pole kwa wabunge wetu wa CCM,Ina maana mnajisikieje waheshimiwa
 
Mmmh

IMG-20210718-WA0139.jpg
 
Wanasiasa wetu hawapo tayari kuwajibikia maamuzi yao, au kile wanachokiamini.
 
Demokrasia maana yake ni utawala wa wananch wote, wana uhuru wa kutoa mawazo yao kwa wawakilishi wao au kwa referendum.

Hili swala la kodi wabunge walipaswa kwenda majimboni na kuongea na wananch wao. Mawazo yarudishwe bungeni. Lakini wabunge wenyewe wanawaogopa wananch wao kwakua hawakuwachagua.
 
Wabunge hawakatwi kodi, hawawezi kujua uchungu wake.

Imefika wakati wananchi tupige kelele wabunge nao wachangie maendelea ya nchi kwa mapato wanayopata bungeni.

#mbungechangiamaendeleoyanchi#
 
Back
Top Bottom