Hizo ni sanaa wataongezewa posho mkuu badala ya kupunguziwa sababu hii bajeti ilipita kwenye baraza la mawaziriKwa kuwa rais amesema tozo ziangaliwe upya maana yake ni kwamba wabunge walipitisha kitu cha ajabu. Waliharibu kazi. Sasa adhabu yao ni nini? Warudishe posho.
Na hapa ndipo umuhimu wa katiba mpya unaonekana. Maana kwa namna walivyo haribu kazi ktk hizi tozo tungesainj petition na wote wangepoyeza ubunge.
wanarudishaje posho, wakati hiyo tozo waliiweka ili waongezewe mshahara.Kwa kuwa rais amesema tozo ziangaliwe upya maana yake ni kwamba wabunge walipitisha kitu cha ajabu. Waliharibu kazi. Sasa adhabu yao ni nini? Warudishe posho.
Na hapa ndipo umuhimu wa katiba mpya unaonekana. Maana kwa namna walivyo haribu kazi ktk hizi tozo tungesainj petition na wote wangepoyeza ubunge.
Halafu kuna majitu yatashangilia kwamba Serikali ni sikivu...CCM Chanzo Cha Matatizo, Chama Cha Mazezeta
Naina wanazuga tuPole kwa wabunge wetu wa CCM,Ina maana mnajisikieje waheshimiwa
Roho inaniuma Sana. Ndugai huyu!!!Mkuu sahau hilo!
Usiishie kusema wanasiasa tu, sema wanasiasa hasa wa ccm maana wao ndio wametawala hii nchi tangu uhuruWanasiasa wetu hawapo tayari kuwajibikia maamuzi yao, au kile wanachokiamini.
Hata wasiokuwa wa CCM wote sawa.Usiishie kusema wanasiasa tu, sema wanasiasa hasa wa ccm maana wao ndio wametawala hii nchi tangu uhuru