Alitaka kumaanisha kuwa yeye ni mgombea mkuuKatika kampeni zake za kuomba kura kwa wajumbe Ndugai kasikika akisema yeye ni mke mkubwa. Swali ambalo najiuliza bila kupata majibu. Je, mme wake ni nani mwenye wake wengi na kwamba yeye anajivunia ndo mke wa kwanza???
Naomba ufafanuzi kwa hili jambo.
Kwa vile ni mwanaume nadhani hili ni obvious. Sasa mtu anakuja kuanzisha uzi kabisa. Hivi Fasihi siku hizi haifundishwi mashuleni? Au uwezo tu wa kufikiri kwa Watanzania wengi umeporomoka? Inasikitisha sana!Alitaka kumaanisha kuwa yeye ni mgombea mkuu
Mimi imenistua sana kauli hiyo kusikia ikitolewa na mwanaume kuwa yeye ni Mke mkubwa.Kwa vile ni mwanaume nadhani hili ni obvious. Sasa mtu anakuja kuanzisha uzi kabisa. Hivi Fasihi siku hizi haifundishwi mashuleni? Au uwezo tu wa kufikiri kwa Watanzania wengi umeporomoka? Inasikitisha sana!
Ukimaanisha ndugai au sio?Sungai aliwahi kusema Yesu alioa
Watoto tu hawa wanasumbua humu jamviniKwa vile ni mwanaume nadhani hili ni obvious. Sasa mtu anakuja kuanzisha uzi kabisa. Hivi Fasihi siku hizi haifundishwi mashuleni? Au uwezo tu wa kufikiri kwa Watanzania wengi umeporomoka? Inasikitisha sana!
Sasa km alisema yeye ni mke wao mkubwa shekh mm nasemaje apoIna maana jamaa ana uume na uke au una maana gani??
Hizi kampeni hizi madaraka yalivo matamu unaweza muambia mgombea nikugonge utapata ushindi na ukamla walahKatika kampeni zake za kuomba kura kwa wajumbe Ndugai kasikika akisema yeye ni mke mkubwa. Swali ambalo najiuliza bila kupata majibu. Je, mme wake ni nani mwenye wake wengi na kwamba yeye anajivunia ndo mke wa kwanza???
Naomba ufafanuzi kwa hili jambo.
Walah madaraka matamu Kuna mmoja aliwapigia mpaka magoti wajumbe Huku analia anaomba kuraUlimi umeteleza. Tumstahi Mzee wetu angalau alitutonya nchi itapigwa mnada na ikawa hivyo ila bado watu wamelala.
Kuna jamaa mwanaume anawaomba kura wanawake anawaita akina mama wenzangu. Akili zinachoka siasa sio mchezo.