USA 🇺🇸 kwa hisani nasikia dozi hawatoi, na maokoto ya matibabu ni very expensiveNdungai aliwahi kusema Yesu alioa
Ni siasa tu hizo mkuuKumbe kasema kwa bahati mbaya. Ulijuaje mkuu au ameshakanusha
Ni noma sana madaraka kipindi hiki Kuna watu wanayatafuta kwa shida na mateso sana.W
Walah madaraka matamu Kuna mmoja aliwapigia mpaka magoti wajumbe Huku analia anaomba kura
Client wa upungufu siku kibao ndiyo maana safari kwa mondi kubadili chembe nyekundi akiwa mbunge huduma bweleleKwani anaumwa nini mpaka useme dozi zimesitishwa
je! itakuaje kama alichokisema ni cha kweli?.Ukiwa unajinadi upigiwe kura akili huwa zinakimbia kusikojulikana,tumsamehe job 7 × 70
Ndiyo maana yakeAnataka Ubunge ili aendelee kutibiwa kwa kodi za wananchi.
Nimekuelewa. Inabidi tumsamehe kama kakosea. Pengine alikuwa anamaanisha mgombea mkubwa kasema mke mkubwa.Ulimi umeteleza. Tumstahi Mzee wetu angalau alitutonya nchi itapigwa mnada na ikawa hivyo ila bado watu wamelala.
Kuna jamaa mwanaume anawaomba kura wanawake anawaita akina mama wenzangu. Akili zinachoka siasa sio mchezo.
Kuna ndoa kati ya wapigakura na viongozi wa kuchaguliwa.Katika kampeni zake za kuomba kura kwa wajumbe Ndugai kasikika akisema yeye ni mke mkubwa. Swali ambalo najiuliza bila kupata majibu. Je, mme wake ni nani mwenye wake wengi na kwamba yeye anajivunia ndo mke wa kwanza?
Naomba ufafanuzi kwa hili jambo.
View attachment 3428597