Ndugai: Ndugu wajumbe nichagueni mimi kwasababu ni mke wenu mkubwa

Hizi kampeni hizi madaraka yalivo matamu unaweza muambia mgombea nikugonge utapata ushindi na ukamla walah
Duuu, umenifanya nicheke sana. Kwa hiyo akikatiza mitaa yako unamla mke mkubwa.
 
Kwani anaumwa nini mpaka useme dozi zimesitishwa
Client wa upungufu siku kibao ndiyo maana safari kwa mondi kubadili chembe nyekundi akiwa mbunge huduma bwelele
 
Client wa upungufu siku kibao ndiyo maana safari kwa mondi kubadili chembe nyekundi akiwa mbunge huduma bwelele
Anataka Ubunge ili aendelee kutibiwa kwa kodi za wananchi.
 
Ulimi umeteleza. Tumstahi Mzee wetu angalau alitutonya nchi itapigwa mnada na ikawa hivyo ila bado watu wamelala.

Kuna jamaa mwanaume anawaomba kura wanawake anawaita akina mama wenzangu. Akili zinachoka siasa sio mchezo.
Nimekuelewa. Inabidi tumsamehe kama kakosea. Pengine alikuwa anamaanisha mgombea mkubwa kasema mke mkubwa.

Na huyu wa kusema wanawake wenzangu, walimwangalia kama hana uke.
 
Kuna ndoa kati ya wapigakura na viongozi wa kuchaguliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…