Course Coordinator1 JF-Expert Member Joined Mar 20, 2025 Posts 857 Reaction score 2,341 Aug 2, 2025 #41 Fanfa said: Amekuwa mbunge zaidi ya miaka 20 bado hajiamini hadi achanganyikiwe??? Click to expand... Kwa hiyo hapo umeona ameongea kwa kudhamiria ?
Fanfa said: Amekuwa mbunge zaidi ya miaka 20 bado hajiamini hadi achanganyikiwe??? Click to expand... Kwa hiyo hapo umeona ameongea kwa kudhamiria ?
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,214 Reaction score 28,145 Aug 2, 2025 #42 Hivi uchaguzi uliopita huyu ndio alimpiga mgombea mwenzake fimbo ya kichwa mpaka akazimia?
Fanfa JF-Expert Member Joined Sep 25, 2009 Posts 2,399 Reaction score 3,775 Aug 2, 2025 Thread starter #43 Course Coordinator1 said: Kwa hiyo hapo umeona ameongea kwa kudhamiria ? Click to expand... mimi naamini alichosema kina ukweli kuwa yeye ni mke mkubwa. Kasema kwa kauli yake, hilo halina ubishi. Shida yangu ni kumjua mme wake ni nani.?
Course Coordinator1 said: Kwa hiyo hapo umeona ameongea kwa kudhamiria ? Click to expand... mimi naamini alichosema kina ukweli kuwa yeye ni mke mkubwa. Kasema kwa kauli yake, hilo halina ubishi. Shida yangu ni kumjua mme wake ni nani.?