Ndugai ni Spika pekee Tanzania kuwahi kuchukiwa na watu

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Nasema haya yote kutokana na mienendo yake mbalimbali na matatizo yanayomkuta huyu Spika wa bunge hasa toka afariki JPM. Nadiriki Kusema anachukiwa na watu tena wengi kwa sababu, Huyu ni Spika ambaye hata akifanya au kuongea Jambo dogo tu lazima watu wamnange. Kunangwa huku kunadhihirisha kabisa kuwa huyu Spika ana damu ya kunguni na hapendwi na watu tena wanatamani hata leo hii ajiuzulu.

Rejea Ile hotuba yake siku Ile anasema kuwa watu wanamsema sana na kumchafua huko mitandaoni sio kwamba ana baya lolote au mapungufu yoyote hapana Ila kwa kuwa yeye ni MGOGO na akadhihirisha kuwa hii ni DHARAU. Binafsi siwezi kukubali kuwa anasimangwa na kuandikwa vibaya kwa kuwa yeye ni Mgogo kwani wagogo wamefanya nini, mbona wako wengi tena wenye nafasi kubwa Serikalini Ila hawasemwi kama yeye?

Sasa basi huu ni wakati wa kujitafakari kabisa kwake, awe mpole, mtulivu, mnyenyekevu, aache kiburi na majigambo hasa kwenye vikao vyake afikirie sana maneno ya kuzungumza.

Nimpe pole sana Mhe: Spika Ndugai kwa kipindi hiki kigumu anachopitia naamini fika kuwa mwaka aliumaliza vibaya na bado yupo Frustrated and Stressed Ila hamna namna apambane kiume maisha ya kuongoza watu yanahitaji uvumilivu sana na ushujaa wa hali ya juu asipokuwa makini kile kitu atakiona kichungu sana na atatamani 2025 iwe hata kesho kutwa ili angoke chap.
 
Tatizo ameacha kufuata taratibu na sheria za kiuongozi zinavyotakiwa mwenyewe kajiingiza kwenye masuala ya uswahiliswahili. Anapenda kupambana na watu ambao ni average halafu anataka lazima anachokiwaza yeye Ndicho kifuatwe na kila mmoja
 
taritibu gani afate!. kama anaweza kupitisha uviko 19 hayo mengine kwake ujazoea
 
Tatizo ameacha kufuata taratibu na sheria za kiuongozi zinavyotakiwa mwenyewe kajiingiza kwenye masuala ya uswahiliswahili. Anapenda kupambana na watu ambao ni average halafu anataka lazima anachokiwaza yeye Ndicho kifuatwe na kila mmoja
Unaeleza kama kijana wa darsa la form 1 aliyeombwa kueleza sifa za paramecium.
 
Spika anatakiwa atambue kwamba position aliyonayo ni kubwa Sana na anatakiwa asimame kwenye nafasi yake, vinginevyo asishangae kudhalilika.

Binafsi nilishtushwa Sana na misbehavior aliyoonesha kwa Rais wa nchi (ingawa yeye anadai Ni edit za mtandaoni),sitaki kuamini kwamba alikuwa hajui atendalo na Ndio sababu hats mwenyezi mungu amemuacha akadhalilika,unapomkosea heshima kiongozi mkuu wa nchi Ni sawa na kutukosea heshima hata sisi tuliokubali kuongozwa nae na pia unakuwa umemkosea heshima mwenyezi mungu kwani hakika mamlaka kubwa Kama hiyo huwekwa na mwenyezi mungu, sisi wengine tunaoamini kiwepo kwa mwenyezi mungu tulianza kuamini uwepo wa baraka za mwenyezi mungu kwenye nafasi aliyochukua Mama Samia siku ile alipomaliza kuapa na alipokaribishwa Rais Uhuru Kenyatta kuongea aliongea neno moja kwamba Rais Samia umekubalika na kabla hajaendelea adhana tukufu ilianza na Rais Kenyatta aliijeshimisha kwa kukaa kimya mpaka ilipokamilika.....ile ilikuwa dalili tosha ya baraka za mwenyezi mungu katika urais wa Samia na hakika alimpa yeye na kwa wakati alioutaka,tumheshimu mwenyezi mungu aliyetuwekea mamlaka hii vinginevyo ukileta dharau zako utajikuta unadhalilika na kuwa mdogo kwa kuwa Hakuna awezaye kupambana na nguvu za mungu.
 
Anachukiwa na majinga chadema pekee
Kwahiyo leo umeamini kuwa Mwigulu, Samia Suluhu, Majaliwa na wale wenyeviti wa CCM wakiongozwa na Anthony Dialo ni majjnga chadema? Hongera zako lijanja CCM. Chalii hivi ni lini utakaa na ukubali zama zimebadilika? Haki ya Mungu watoto wa Mzee Rukhusa watawaua mwaka huu.
 
Nasema haya yote kutokana na mienendo yake mbalimbali na matatizo yanayomkuta huyu Spika wa bunge hasa toka afariki JPM. Nadiriki Kusema anachukiwa na watu tena wengi kwa sababu, Huyu ni Spika ambaye hata akifanya au kuongea Jambo dogo tu lazima watu wamnange. Kunangwa huku kunadhihirisha kabisa kuwa huyu Spika ana damu ya kunguni na hapendwi na watu tena wanatamani hata leo hii ajiuzulu.

Rejea Ile hotuba yake siku Ile anasema kuwa watu wanamsema sana na kumchafua huko mitandaoni sio kwamba ana baya lolote au mapungufu yoyote hapana Ila kwa kuwa yeye ni MGOGO na akadhihirisha kuwa hii ni DHARAU. Binafsi siwezi kukubali kuwa anasimangwa na kuandikwa vibaya kwa kuwa yeye ni Mgogo kwani wagogo wamefanya nini, mbona wako wengi tena wenye nafasi kubwa Serikalini Ila hawasemwi kama yeye?

Sasa basi huu ni wakati wa kujitafakari kabisa kwake, awe mpole, mtulivu, mnyenyekevu, aache kiburi na majigambo hasa kwenye vikao vyake afikirie sana maneno ya kuzungumza.

Nimpe pole sana Mhe: Spika Ndugai kwa kipindi hiki kigumu anachopitia naamini fika kuwa mwaka aliumaliza vibaya na bado yupo Frustrated and Stressed Ila hamna namna apambane kiume maisha ya kuongoza watu yanahitaji uvumilivu sana na ushujaa wa hali ya juu asipokuwa makini kile kitu atakiona kichungu sana na atatamani 2025 iwe hata kesho kutwa ili angoke chap.
Nadhani hapendwi sababu ya maamuzi yake ya kionevu na upendeleaji.Sio sababu ya ugogo
 
Nchii hii uksema ukwel tu umeisha. Wa mwachie gwajima na kipolepole ndo wanawezana na sirikali
 
na mgogo wa kwanza kuwakilisha mkoa wa dodoma pamoja na historia ya hospitali kubwa aka milembe
sheed.png
 
The think ninayo iona hapa ni gwajima ana conection kubwa na mungu jumapili tuwai ufufuo na uzima misa ya kwanza huyu mtu anaweza kua ndio yesu tuliekua tunamkusudia maana tangu ndugai aanze kuparangana nae mambo yanamuendea kombo mara yesu alikua na mke maana kaingia kwenye kumi na nane za mama wa kambo sio yeye kuna huyu aliekua mtoto wa mfalme wa chato ndan ya dar kilichomkuta nadhan unakiona na wemgine weng

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema haya yote kutokana na mienendo yake mbalimbali na matatizo yanayomkuta huyu Spika wa bunge hasa toka afariki JPM. Nadiriki Kusema anachukiwa na watu tena wengi kwa sababu, Huyu ni Spika ambaye hata akifanya au kuongea Jambo dogo tu lazima watu wamnange. Kunangwa huku kunadhihirisha kabisa kuwa huyu Spika ana damu ya kunguni na hapendwi na watu tena wanatamani hata leo hii ajiuzulu.

Rejea Ile hotuba yake siku Ile anasema kuwa watu wanamsema sana na kumchafua huko mitandaoni sio kwamba ana baya lolote au mapungufu yoyote hapana Ila kwa kuwa yeye ni MGOGO na akadhihirisha kuwa hii ni DHARAU. Binafsi siwezi kukubali kuwa anasimangwa na kuandikwa vibaya kwa kuwa yeye ni Mgogo kwani wagogo wamefanya nini, mbona wako wengi tena wenye nafasi kubwa Serikalini Ila hawasemwi kama yeye?

Sasa basi huu ni wakati wa kujitafakari kabisa kwake, awe mpole, mtulivu, mnyenyekevu, aache kiburi na majigambo hasa kwenye vikao vyake afikirie sana maneno ya kuzungumza.

Nimpe pole sana Mhe: Spika Ndugai kwa kipindi hiki kigumu anachopitia naamini fika kuwa mwaka aliumaliza vibaya na bado yupo Frustrated and Stressed Ila hamna namna apambane kiume maisha ya kuongoza watu yanahitaji uvumilivu sana na ushujaa wa hali ya juu asipokuwa makini kile kitu atakiona kichungu sana na atatamani 2025 iwe hata kesho kutwa ili angoke chap.
Watanzania kila siku afadhali jana kuliko leo...
Sita alichukiwa sana baada ya manuva ya bumge la katiba...
 
Ndugai kama mkuu wa chombo cha kutunga sheria alijiingiza kwenye utendaji wa serikali. Ameacha kazi yake ya kuisimamia serikali akawa sehemu ya serikali.

Ahhhh. Unalipwa na hiyo Serikali unadhani rahisi. Embu jaribu kufikiria ulipo Hapo. Then fanya Tafakari kidogo.
 
Back
Top Bottom