Ndugai: Toka Magufuli aage Dunia, umuhimu wa Dodoma unafifishwa kwa makusudi kabisa

Ndugai aache Uchizi wake....!!!
Ina maana Ndugai anahoji Mamlaka ya Rais? Yeye nnani??
 
Sheria zinatungwa na Watu na Watu hao wanaweza KUZIBADILI
 
Na wale wa Chato wanasemaje? Bei ya hotel na guest house kwa sasa zimepanda?[emoji1][emoji1]

Nina kiwanja nauza Chato laki mbili tu mwenye anakitaka anirushie tigo pesa nimkabidhi kwa mwenyekiti wa mtaa.[emoji1][emoji1]
Matola kama kipo jirani na zile traffic lights ni ambient nikurushie fast!
 

Jinsi Mda unavyoenda ndiyo Mama atakuja jua kwamba Hana support! Pole pole Ana muscles nyuma yake!

Mama yangu Samia, katika watu ambao watakuwa Na Uzee wa uzuni unaweza Kuwa top 10 Kwa Tanzania leaders.
 
Sasa kama anajua sheria ipo na hakuna wa kuibadili hofu yake nini?

Halaf hiki kimtu kifupi kwanini hakikufi? Kinatuchosha na makelele yake
 
Dodoma itabidi isubiri sana, kama tu shahada za uzamivu zinatolewa hovyo namna hiyo kwa wanasiasa! Basi hakuna namna zaidi ya kulifanya hili lisubiri zaidi.

Tukifanya haraka, wabunge wote wa CCM watakuwa ni "PhD holders".
 
Jinsi Mda unavyoenda ndiyo Mama atakuja jua kwamba Hana support! Pole pole Ana muscles nyuma yake!

Mama yangu Samia, katika watu ambao watakuwa Na Uzee wa uzuni unaweza Kuwa top 10 Kwa Tanzania leaders.
Hivi nyinyi vitimbakwiri ni nani wa kumtisha Rais?

Yani genge la wahuni wa Kisukuma ndio mumjambishe Rais?

Subiri Mbowe aachiliwe tuanze kuwashughulikia wote.
 
Huwa nasema na ntarudia over and over mpaka nione decisions zetu zina reflect "Intelligence"...hatuwezi kuwa na taifa kila kitu ni Dar es Salaam., Hauwezi kuwa na taifa la aina hiyo kamwe na ukasema una viongozi wenye maono ya miaka 50 au 30 mbele. Ni kuhujumiana tu waafrika kwa waafrika kama tuna laana flani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…