Ndugai: Toka Magufuli aage Dunia, umuhimu wa Dodoma unafifishwa kwa makusudi kabisa

Kweli hilo jambo limemkwaza sana Ndugai wao wazee ni wapuuzi sana kwanza walishafanya mengi mabaya kwa nchi sasa wameona mama ni mdebwedo wanatopoka wanavyotaka hiyo Nnauye ni nani mpaka tuone Ndugai hafai anafaa yeye Nnauye!
Kama huwezi hata kumjuwa Comrade Moses Nnauye ni nani hama hili jukwaa nenda MMU.

Hiyo takataka yenu ya Kongwa hana CV ya Comrade Moses Nnauye ndani ya chama kiukada na uadilifu.
 
Acha ujinga huna uwezo wa kumuita Ndugai takataka kwani wewe ni ng'ombe utaliwa bucha!
 
Ndugai hana njaa hizo kwa sasa! Ajipendekeze kwa lipi? Mke wake msomi mzuri na yuko kwenye system,mtoto wake Dactari nk!
Wakati alipokuwa house boy wa Chato mke wake alikuwa shule ya chekechea?

Kuna spika wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania kama huyo mgogo wa Kongwa?
 
Sasa mtu kama Gwajima kamtikisa kiasi hiki iwe bunge la jamhuri ya Muungano wa Tz? Usidhanie wabunge wote wa jamhuri japo wako CCM wanafurahia huu ujinga sahau!
 
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."

"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"

"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."

"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."

Amesema Ndugai.
Tusifanye mchezo na hao wahuni. Kwao maslahi yao binafsi ndio kipaumbele wala hawajali kama taifa linapata hasara kiasi gani kwa vitendo vyao. Walisema hawakupenda makao makuu yahamie dodoma na sasa tunaona wanapiga munda kuhamia dodoma. Waliamua ujenzi wa bandari bagamoyo licha ya masharti hasi na kutisha kwa nchi. Sasa wanataka bandari bagamoyo ili tu binafsi na vizazi vyao vifaidike.
Tukatae kwa pamoja na kwa nguvu wahuni.
 
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."

"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"

"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."

"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."

Amesema Ndugai.
Source!?
 
Kwani hujui ule ni muhimuli mwingine ama nyinyi ndio wale mliishia darasa la pili c
Naona wewe ndiye uliishia darasa tena la vidudu hukuwahi kujua hata ba be bi bo bu!!
Hivi muhimili wa Bunge nao una Mamlaka kama ya Rais? Hivi Spika naye anaweza akapendekeza Dodoma iwe Capital City? Hivi hujui Baba wa Taifa( marehemu Nyerere) ndiye alitoaga wazo la kuhamia Dodoma? Hakuwa Adamu Sappi Mkwawa by then. Likewise na sasa aliyeleta msukumo kwa mara nyingine tena kuhamia Dom ni Rais hayati MAGUFULI not Mr. Speaker Ndugai. Hivo acha kutetea Ujinga.
Upo??
 
Jamaa alizaliwa akiwa na mtindio wa ubongo ......Dodoma hapafai kuishi kabisa....hakuna miundo mbinu, Hakuna maji , Hakuna vivuli wala mandhari ya kupendeza, vumbi tupu mpaka wengine sasa tunakaribia kupofuka....pa kishenzi sana...yaani ukikaa wiki tatu mfululizo Dodoma ...unakuwa chizi...mwacheni Rais na viongozi wakajilie maisha maeneo yanayoeleweka siyo Dodoma ambako hakuna mambo mchanganyiko kama maShawarma,KFC, Burger, tandoori, schnizer,pizzaria,pizza hut,sea food,greek salad,subway etc... hata wawekezaji wote wa maana wanachungulia tu na kubeep
 
Wakati alipokuwa house boy wa Chato mke wake alikuwa shule ya chekechea?

Kuna spika wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania kama huyo mgogo wa Kongwa?
Sawa ni wa hovyo! Ila ujifunze kuheshimu wenzako!
 
Dar es salaam ndio mpango mzima
 
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."

"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"

"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."

"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."

Amesema Ndugai.
Sijamuelewa kabisa hapa Ndugai.
Alikuwa anatupa taarifa, analalamika Dodoma kuanza kupigwa kumbo wa watawala au kuwadhihaki viongozi wanaokwamisha Dodoma kuendelezwa kuwa watashindwa?
 
Back
Top Bottom