Tayari miundo mbinu imeshawekwa dom kuwa mji wa kiserikali!!! Sasa kuijenga dom na now kurudi dom nikuchezea pesa za wananchi walipa kodi.... nchi kama China huwezi fanya huu upuuzi mzee wangu! Na ndo sababu wameinuka fasta kiuchumi” maana pesa yao haichezewi hata na viongozi wao!!! Huku raisi anaamua tu leo dar Kesho dom Hakuna nchi itakuwa Na maendeleo kwa ivi mzee... lazima tubane matumizi na miradi yenye Tija iishe.
Huwezi ukaacha miradi njiani umeshawekeza hela kibao alafu unaanzisha mingine huku nikufeli kw serikali mkuu tumalize miradi oliyopo, tuone faida yake maisha yawe nafuu alafu ndo tunaanza miradi mipya! Izi pesa wanachezea ni kodi zetu mzee ni vile hujui nalipa kodi kwa kiasi gani haujui maumivu yake ndo sababu unashadadia upumbavu, ifike mahali serikali iyonee huruma raia wake watekeleze wanacho kianzisha sio kila raisi anakuja na lake si ela zote zinapotelea hewani