Ndugai: Tumshughulikie Zitto kama Bunge la Marekani linavyomshughulikia Rais Trump

a42f7fe6f991e7ba007d0e3b3f46b5f4

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.

Spika Ndugai amesema hayo jana Ijumaa Januari 31, 2020 bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hoja iliyoletwa na Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel.

Dk Mollel amewasilisha hoja binafsi bungeni akiwashauri wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.

Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa jimboni kwake baadhi ya shule wanafunzi hawana madawati wanakalia vigoda vya miguu mitatu.

Pia, amesema kuna shule ya sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumia na watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana.

Spika Ndugai amesema kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu.

Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Mkamia akichangia hoja ya usaliti wa Zitto ametoa mfano wa Wamarekani kwamba rais wake anayesaliti Taifa lao hawamuachi salama. Amesema kuna haja Bunge likachukua hatua kwa watu kama Zitto.
Mbona hizo shule za hivyo zikipigwa picha na picha zake kusambazwa mitandaoni huwa wanakanusha kwa nguvu zote na wasambazaji wa wapiga picha hizo na qasambazaji wake hutafutwa, kukamatwa na kutupwa kolokoloni?

Leo Chupika anakili kuwa tuna shule za viwango hivyo.
Kingine ni aibu mtu mwenye nafasi ya Spika kuongea uongo. Anawezaje kusema Trump anashughulikiwa kwa kukosa uzalendo? Kwa taarifa yake ni kwamba, Trump anashughulikiwa na wenye Gubu.
 
Kuna watu ukifanya nao vita ya akili unawamaliza mapema sana kuliko ile ya vifaru na maguruneti.

Hivi Zitto unawezaje kumlinganisha na D Trump?

Kuna watu ni waoga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu mjue wanafanya unyambilizi,sababu wanajua hawana muda mrefu wa kuishi,mtu anajua kwa vyovyote labda hakatizi miaka mingine 10 au 5 Sasa anawafanyia ushenzi akijua Hana Cha kupoteza
 
Pumbav kabisa haoni hata aibu kusema jimboni kwake wanafunzi hawana madawati, ina maana bila mkopo nchi haiwezi kutengeneza madawati kwa ajili ya wanafunzi? Mbona ndege tunanunua kwa fedha za ndani.
 
a42f7fe6f991e7ba007d0e3b3f46b5f4

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.

Spika Ndugai amesema hayo jana Ijumaa Januari 31, 2020 bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hoja iliyoletwa na Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel.

Dk Mollel amewasilisha hoja binafsi bungeni akiwashauri wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.

Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa jimboni kwake baadhi ya shule wanafunzi hawana madawati wanakalia vigoda vya miguu mitatu.

Pia, amesema kuna shule ya sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumia na watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana.

Spika Ndugai amesema kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu.

Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Mkamia akichangia hoja ya usaliti wa Zitto ametoa mfano wa Wamarekani kwamba rais wake anayesaliti Taifa lao hawamuachi salama. Amesema kuna haja Bunge likachukua hatua kwa watu kama Zitto.
Kabla ya kuongea fikiri kwanza hiyo ndiyo hekima
Bunge la marekani liko na Trump kwa ushahidi wa kura iliyopigwa tayari.
Sasa kauli ya Ndugai itabaki kuwa kaili ya asiefikiri kabla ya kuongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu naye ndiye chanzo cha matatizo nchini.
Mbunge ana kinga na haki ya kuongelea bungeni kwa uhuru lakini amekuwa bingwa wa kuwaziba midomo sasa nadhani wameona wakazungumzie nje ni matokeo ya udhaifu wake kwa serikali.
Yeye bunge lake haliwezi hata kuhoji matumizi ya fedha bila idhini ya bunge anajilinganisha na bunge la marekani kumuadhibu Rais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hizo shule za hivyo zikipigwa picha na picha zake kusambazwa mitandaoni huwa wanakanusha kwa nguvu zote na wasambazaji wa wapiga picha hizo na qasambazaji wake hutafutwa, kukamatwa na kutupwa kolokoloni?

Leo Chupika anakili kuwa tuna shule za viwango hivyo.
Kingine ni aibu mtu mwenye nafasi ya Spika kuongea uongo. Anawezaje kusema Trump anashughulikiwa kwa kukosa uzalendo? Kwa taarifa yake ni kwamba, Trump anashughulikiwa na wenye Gubu.
Itabidi watu wa kgm watutumie hizo picha ili na watoa mikopo waone fedha wanazotoa haziwafikii walengwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Ndugai akili yake fupi sanaaa kama urefu wake! Kwanza anamlinganishaje Zitto na Trump? Na hata hivyo, Trump kesharuka viunzi, case closed! Tangu enzi na enzi, watoto wanakalia vigoda, matofali na udongo, iweje leo usingizie Zitto? Na huyo Mollel ziro bila, si ndiyo huyo aliyeshindwa kuongea bungeni siku hiyo? Eti dokta, bure kabisa? Zitto hajasema uongo, kama kuwajibisha, muwajibishe kufuri anayepitisha mamiradi bila idhini ya bunge, tena mamiradi yasiyo na tija, fedha zetu ambazo zingesaidia kurekebisha elimu ya nchi hii.
 
a42f7fe6f991e7ba007d0e3b3f46b5f4

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.

Spika Ndugai amesema hayo jana Ijumaa Januari 31, 2020 bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hoja iliyoletwa na Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel.

Dk Mollel amewasilisha hoja binafsi bungeni akiwashauri wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.

Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa jimboni kwake baadhi ya shule wanafunzi hawana madawati wanakalia vigoda vya miguu mitatu.

Pia, amesema kuna shule ya sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumia na watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana.

Spika Ndugai amesema kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu.

Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Mkamia akichangia hoja ya usaliti wa Zitto ametoa mfano wa Wamarekani kwamba rais wake anayesaliti Taifa lao hawamuachi salama. Amesema kuna haja Bunge likachukua hatua kwa watu kama Zitto.
Kama Zitto kaandika barua WB kusema Tanzania hakuna uhuru wa kisiasa, halafu bunge likamshughulikia kwa kuandika barua hiyo, bunge kumshughulikia hivyo utakuwa ni ushahidi zaidi kwamba Tanzania hakuna uhuru wa kisiasa.

They will be making Zitto's point even more valid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raid alishasema tz ni dona kantre,na ccm walishangilia sana, nashanga Leo ccm haohao wanalili msaada wakati sisi ni dona kantre
Lakini naona ajabu moja kubwa. Kipi bora kutumia hela za ndani au kukopa ili kuimarisha elimu. Huduma za jamii kama elimu na afya zingetumia hela za ndani halafu mikopo itumike kujenga miundo mbinu kama reli, ndege na umeme.
Sisi tumefanya kinyume chake. Anyway kukopa muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipokuwa anakaa 5* hotel na kujipa maposho India alikuwa hajui kama wanafunzi wa jimbo lake wanakaa chini, k*mama*ye!
 
Sasa na wenyewe wanajiita bunge wanaakili sawa kweli hawa?wenzao kule Kuna balance of power huku bongo be maamuzi ya bunge yanatolewa na ikulu hebu waache kuchekesha watu
 
a42f7fe6f991e7ba007d0e3b3f46b5f4

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.

Spika Ndugai amesema hayo jana Ijumaa Januari 31, 2020 bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hoja iliyoletwa na Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel.

Dk Mollel amewasilisha hoja binafsi bungeni akiwashauri wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.

Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa jimboni kwake baadhi ya shule wanafunzi hawana madawati wanakalia vigoda vya miguu mitatu.

Pia, amesema kuna shule ya sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumia na watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana.

Spika Ndugai amesema kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu.

Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Mkamia akichangia hoja ya usaliti wa Zitto ametoa mfano wa Wamarekani kwamba rais wake anayesaliti Taifa lao hawamuachi salama. Amesema kuna haja Bunge likachukua hatua kwa watu kama Zitto.
Kwa hiyo Zitto ni Rais wa Tanzania? Mnalikuza jambo lisilotakiwa kukuzwa na matoleo yake ni mbaya zaidi kwa ombi la mkopo kutoka WB. Kelele zenu na kauli zenu haziisaidii serikali wala nchi!
 
Ndugai: Tumshughulikie Zitto kama Bunge la Marekani linavyomshughulikia Rais Trump
Hapana, labda ulimi tu umeteleza...yawezekana alitaka kusema tumshughulikie Rais Magufuli kama Bunge la Marekani linavyomshughulikia Rais Trump! You dont compare apples to oranges, stupid!
 
Zitto alichofanya si kizuri. Simpendi jiwe ila nchi yangu kwanza. Lakini tukiangalia upande wa pili hizo pesa zingeishia chato wasijifanye kua waliziandaa ziende kwenye elimu. Hawajashughulikia elimu miaka yote washughulikie leo?
 
Back
Top Bottom