Huyu ndie Spika wa bunge la Tanzania. Mhimili unao jitegemea.![]()
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.
Spika Ndugai amesema hayo jana Ijumaa Januari 31, 2020 bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hoja iliyoletwa na Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel.
Dk Mollel amewasilisha hoja binafsi bungeni akiwashauri wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.
Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa jimboni kwake baadhi ya shule wanafunzi hawana madawati wanakalia vigoda vya miguu mitatu.
Pia, amesema kuna shule ya sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumia na watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana.
Spika Ndugai amesema kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu.
Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Mkamia akichangia hoja ya usaliti wa Zitto ametoa mfano wa Wamarekani kwamba rais wake anayesaliti Taifa lao hawamuachi salama. Amesema kuna haja Bunge likachukua hatua kwa watu kama Zitto.
Spika awaandikie WB barua awaambie hayo niawaxo yake na sio msimamo wa bunge inatoshaSPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.
Spika Ndugai amesema hayo jana Ijumaa Januari 31, 2020 bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hoja iliyoletwa na Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel.
Dk Mollel amewasilisha hoja binafsi bungeni akiwashauri wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.
Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa jimboni kwake baadhi ya shule wanafunzi hawana madawati wanakalia vigoda vya miguu mitatu.
Pia, amesema kuna shule ya sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumia na watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana.
Spika Ndugai amesema kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu.
Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Mkamia akichangia hoja ya usaliti wa Zitto ametoa mfano wa Wamarekani kwamba rais wake anayesaliti Taifa lao hawamuachi salama. Amesema kuna haja Bunge likachukua hatua kwa watu kama Zitto.
Wale wenye pregnant je kusoma vipHawasikii aibu watoto kukalia vigoda huku Magufuli ananunua ma dreamliners?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapewa kesi ya uhujumu uchumiNi kweli bunge la Marekani linamshughulikia Raisi, lakini tuangalie, wanavyoitumia sheria na mwenendo wanaoufatualia.
Kuna wabunge wa chama atokacho Raisi, ambao kura zao zinampinga raisi wa chama chao, jee kwetu inawezekana???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kitendo alichokifanya Zitto Kabwe kwa Wamarekani kwao angenyongwa na kuvifuta vizalio vyake. Lakini utaona Wamarekani wanamkumbatia kwasababu anawewezesha kutaka Tanzania isitawalike.SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.
Spika Ndugai amesema hayo jana Ijumaa Januari 31, 2020 bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hoja iliyoletwa na Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel.
Dk Mollel amewasilisha hoja binafsi bungeni akiwashauri wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.
Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa jimboni kwake baadhi ya shule wanafunzi hawana madawati wanakalia vigoda vya miguu mitatu.
Pia, amesema kuna shule ya sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumia na watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana.
Spika Ndugai amesema kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu.
Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Mkamia akichangia hoja ya usaliti wa Zitto ametoa mfano wa Wamarekani kwamba rais wake anayesaliti Taifa lao hawamuachi salama. Amesema kuna haja Bunge likachukua hatua kwa watu kama Zitto.
Mlimshughulikia Sugu mpaka kipaza sauti kikang'olewa wakati hakuwa na kosa lolote kama ilivyothibitishwa na mahakama zaidi ya kosa kuwa mbunge wa Chadema, bunge ni lenu CCM mnyang'anyeni ubunge kama mlivyomnyang'anya Lissu.SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.
Spika Ndugai amesema hayo jana Ijumaa Januari 31, 2020 bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hoja iliyoletwa na Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel.
Dk Mollel amewasilisha hoja binafsi bungeni akiwashauri wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.
Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa jimboni kwake baadhi ya shule wanafunzi hawana madawati wanakalia vigoda vya miguu mitatu.
Pia, amesema kuna shule ya sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumia na watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana.
Spika Ndugai amesema kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu.
Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Mkamia akichangia hoja ya usaliti wa Zitto ametoa mfano wa Wamarekani kwamba rais wake anayesaliti Taifa lao hawamuachi salama. Amesema kuna haja Bunge likachukua hatua kwa watu kama Zitto.
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.
Spika Ndugai amesema hayo jana Ijumaa Januari 31, 2020 bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hoja iliyoletwa na Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel.
Dk Mollel amewasilisha hoja binafsi bungeni akiwashauri wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.
Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa jimboni kwake baadhi ya shule wanafunzi hawana madawati wanakalia vigoda vya miguu mitatu.
Pia, amesema kuna shule ya sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumia na watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana.
Spika Ndugai amesema kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu.
Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Mkamia akichangia hoja ya usaliti wa Zitto ametoa mfano wa Wamarekani kwamba rais wake anayesaliti Taifa lao hawamuachi salama. Amesema kuna haja Bunge likachukua hatua kwa watu kama Zitto.
Zitt ni mhaini na Mhujumu namba 1 wa Tanzania, nitaanza si muda mrefu kupost uchafu wa Anti ZigoMbona hizo shule za hivyo zikipigwa picha na picha zake kusambazwa mitandaoni huwa wanakanusha kwa nguvu zote na wasambazaji wa wapiga picha hizo na qasambazaji wake hutafutwa, kukamatwa na kutupwa kolokoloni?
Leo Chupika anakili kuwa tuna shule za viwango hivyo.
Kingine ni aibu mtu mwenye nafasi ya Spika kuongea uongo. Anawezaje kusema Trump anashughulikiwa kwa kukosa uzalendo? Kwa taarifa yake ni kwamba, Trump anashughulikiwa na wenye Gubu.
Acha kwanza mambo ya kauli huumba, twende kwenye heshima ya bunge letu na umoja wake.Nimeusikiliza huu mjadala, kiukweli baadhi ya wabunge wametoa kauli kali na hatarishi, ikiwemo kauli ya kifo kwa Mhe. Zitto Kabwe.
Naendelea kusisitiza kuhusu kauli huumba, kauli kama hii ilitolewa kumhusu Lissu na mara ikatekelezwa, sasa ni kumhusu Zitto, bahati nzuri Zitto ni mtu wa Kigoma, mwisho wa reli, na kule kwao, kaaga!, likimtokea la kutokea, kwa mujibu wa Zitto mwenyewe, hawa waliochangia adhuriwe, kule majumbani kwao, hakuta salia hata panya alive!.
P