Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,423
Mbona hizo shule za hivyo zikipigwa picha na picha zake kusambazwa mitandaoni huwa wanakanusha kwa nguvu zote na wasambazaji wa wapiga picha hizo na qasambazaji wake hutafutwa, kukamatwa na kutupwa kolokoloni?
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.
Spika Ndugai amesema hayo jana Ijumaa Januari 31, 2020 bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hoja iliyoletwa na Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel.
Dk Mollel amewasilisha hoja binafsi bungeni akiwashauri wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.
Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa jimboni kwake baadhi ya shule wanafunzi hawana madawati wanakalia vigoda vya miguu mitatu.
Pia, amesema kuna shule ya sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumia na watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana.
Spika Ndugai amesema kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu.
Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Mkamia akichangia hoja ya usaliti wa Zitto ametoa mfano wa Wamarekani kwamba rais wake anayesaliti Taifa lao hawamuachi salama. Amesema kuna haja Bunge likachukua hatua kwa watu kama Zitto.
Kabla ya kuongea fikiri kwanza hiyo ndiyo hekima

Itabidi watu wa kgm watutumie hizo picha ili na watoa mikopo waone fedha wanazotoa haziwafikii walengwaMbona hizo shule za hivyo zikipigwa picha na picha zake kusambazwa mitandaoni huwa wanakanusha kwa nguvu zote na wasambazaji wa wapiga picha hizo na qasambazaji wake hutafutwa, kukamatwa na kutupwa kolokoloni?
Leo Chupika anakili kuwa tuna shule za viwango hivyo.
Kingine ni aibu mtu mwenye nafasi ya Spika kuongea uongo. Anawezaje kusema Trump anashughulikiwa kwa kukosa uzalendo? Kwa taarifa yake ni kwamba, Trump anashughulikiwa na wenye Gubu.
Hivi wanavyojichanganya mimi nafarijika sana kwani ndiyo wanaharakisha kifo cha CCM.Mi nawasiwasi na uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu. Hivi huwa wanawaza matokeo ya kauli zao? Ngoja tutakapokuwa Zimbabwe akili itawakaa sawa
Kama Zitto kaandika barua WB kusema Tanzania hakuna uhuru wa kisiasa, halafu bunge likamshughulikia kwa kuandika barua hiyo, bunge kumshughulikia hivyo utakuwa ni ushahidi zaidi kwamba Tanzania hakuna uhuru wa kisiasa.
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.
Spika Ndugai amesema hayo jana Ijumaa Januari 31, 2020 bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hoja iliyoletwa na Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel.
Dk Mollel amewasilisha hoja binafsi bungeni akiwashauri wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.
Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa jimboni kwake baadhi ya shule wanafunzi hawana madawati wanakalia vigoda vya miguu mitatu.
Pia, amesema kuna shule ya sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumia na watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana.
Spika Ndugai amesema kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu.
Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Mkamia akichangia hoja ya usaliti wa Zitto ametoa mfano wa Wamarekani kwamba rais wake anayesaliti Taifa lao hawamuachi salama. Amesema kuna haja Bunge likachukua hatua kwa watu kama Zitto.
Lakini naona ajabu moja kubwa. Kipi bora kutumia hela za ndani au kukopa ili kuimarisha elimu. Huduma za jamii kama elimu na afya zingetumia hela za ndani halafu mikopo itumike kujenga miundo mbinu kama reli, ndege na umeme.
Sisi tumefanya kinyume chake. Anyway kukopa muhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Zitto ni Rais wa Tanzania? Mnalikuza jambo lisilotakiwa kukuzwa na matoleo yake ni mbaya zaidi kwa ombi la mkopo kutoka WB. Kelele zenu na kauli zenu haziisaidii serikali wala nchi!
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi.
Spika Ndugai amesema hayo jana Ijumaa Januari 31, 2020 bungeni mjini Dodoma wakati akihitimisha hoja iliyoletwa na Mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel.
Dk Mollel amewasilisha hoja binafsi bungeni akiwashauri wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa ajili ya sekta ya elimu.
Spika Ndugai amewaambia wabunge kuwa jimboni kwake baadhi ya shule wanafunzi hawana madawati wanakalia vigoda vya miguu mitatu.
Pia, amesema kuna shule ya sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumia na watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana.
Spika Ndugai amesema kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu.
Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Mkamia akichangia hoja ya usaliti wa Zitto ametoa mfano wa Wamarekani kwamba rais wake anayesaliti Taifa lao hawamuachi salama. Amesema kuna haja Bunge likachukua hatua kwa watu kama Zitto.
Hapana, labda ulimi tu umeteleza...yawezekana alitaka kusema tumshughulikie Rais Magufuli kama Bunge la Marekani linavyomshughulikia Rais Trump! You dont compare apples to oranges, stupid!Ndugai: Tumshughulikie Zitto kama Bunge la Marekani linavyomshughulikia Rais Trump