Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

Ndugai ni Kenge kama kenge zingine,anataka auze kila kitu sasa kwenye hii nchi
 
Mzee alikuwa na Manafiki mengi humo ndani kwake ndo maana hata moyo ukashindwa kuvumilia
 
Hapa ndio naona kweli hatuna wataalamu, hivyo tulete wageni waweze kutoa kauli zenye haki na urojo rojo wa maendeleo
 
Guilty consciousness 🤣🤣🤣 Anaogopa kutajwa kwenye report ya CAG maana naye awaeleze WaTz pesa ya matibabu India receipt zipo wapi!
 
Why so sudden kuhusu mradi huu!
 
Katiba mpya kama itatokea ifute mifumo ya kuimalisha ubora wa watalawa bali kuimalisha mifumo bora ya uongozi wa nchi yetu
Katiba mpya ndiyo dawa kwa sasa. Taifa lisitolewe kwenye mjadala sahihi.
 
Mikataba kwanini isiwekwe wazi na wananchi wenye nchi kuitolea maoni... yaani unataka ukisema ni mbaya tushangilie pia ukisema ni mzuri tushangilie bila ya kunua content?

Credibility ya bunge kuwa muwakilishi wa wananchi ilishapoteaga kwakuwa bunge limeidhinisha masuala mengi yasikuwa na manufaa kwetu.

sasa wananchi tunataka tuamue sote kwa pamoja kuhusu nini chenye manufaa kwetu... wekeni hiyo document mezani
 
Hii ndio Afrika yangu ninayoijua
Hawa ndio waafrika ninao wafahamu
 

Na ndipo walianza “kudondoka” watu na hatimaye akafikiwa mlengwa!!

Dah!
 
Kilichoonyeshwa na ndugai Jana, nimebaki mdomo wazi.Nchi yetu Ina viongozi wa ajabu Sana Binafsi namuamini Sana lissu kwa kutokuwa kigeugeu
 
Kwa nini tusiitengeneze sisi wenyewe kwa fedha zetu za ndani na kwa wataalam wetu wa ndani?-Alisikika magu2016 mzalendo namba moja wa nchi hii!
 
Hebu wauweke wazi kwanza huo mkataba... Tuuone
 
Kwa aina ya Wabunge walioko Bungeni na spika wao Ndungai usitegemee kizuri hapo-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…