Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

Usipokuwa na kiasi ufuasi wa kiwango hiki ndo hupelekea kufanya ibada na kusujudu visivyo Mungu.
 
Nipitie na mimi nipo hapa Kibaigwa twende wote kazi ikawe nyepesi kuondoa yale maandishi.
 
Ndugai alikuwaga anahonga mademu UDOM hadi dollars 10,000 naye CAG amkague
 
Inapendeza kuona wanafiki wa CCM wanageukana!

Wapinzani walionekana ndio wanachelewesha maendeleo kwa mujibu wa jiwe!

Leo hii ni vita ya MATAGA/WAPAMBE/YATIMA Vs CCM asilia !

Mimi nasema Bi Mkubwa Endelea kukandamiza bakora hapo hapo!
 
Ukifika Ddm nitafute! Ninayo bucket crane truck tukasaidiane kuling'oa lile jina, mwendazake hakuwajua kwamba wanadamu ni soo, bora ukamfadhili mbuzi, utamla nyama, sio binadamu! Wamemtosa akingali mbichi!
 
Ndugai ni nani kitaalamu⁉️‼️, Magufuli alitoa sababu lukuki kwanini mradi haufai, yeye anasababu moja tu "Magufuli alishauriwa vibaya"; na nani⁉️‼️‼️🤔
 
Hiki ndicho kipimo cha kwanza kwa rais
 
Ogopa sana mwanadamu akikusifu kuna Siku atakugeuka
 
Mbona Yakobo anakula matapishi yake kabla hata jogoo hajawika⁉️⁉️🤔🤔

Hapa ndipo huwa nafiri kuwa kama Mungu yupo basi atajionesha kukicha na baada ya jogoo kuwika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…