Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Vizuri wakifundisha kwa kiswahili hadi chuo kikuu.Fundisheni kwa kiingereza kuanzia msingi hadi chuo kikuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri wakifundisha kwa kiswahili hadi chuo kikuu.Fundisheni kwa kiingereza kuanzia msingi hadi chuo kikuu
Ni uleule tu, sema kipimdi hicho fursa na ajira kwa waliosoma Ilikuwa nyingi.Mfumo Wa Elimu Ya Tanzania Mwaka 1990- 2008 Hauna shida yeyote. Hakika Niliyofundishwa yote yananiweka Mjini.
Abrianna anafahamu na ningependa afanye Research na Kuutetea Mfumo wetu wa Elimu.
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema ipo haja ya kufungua Mjadala wa Elimu, na ndiyo maana Wabunge wamekuwa wakisema washirikishwe
Akiwa Bungeni Dodoma amemwambia Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako, "Sisi tunataka Elimu ya Tanzania tuitazame. Hayo sijui ipo Wizara gani, sisi kama Wananchi haituhusu, tunataka tuseme tunataka nini kwenye Elimu"
Ameongeza, "Tena Elimu ya Chuo Kikuu ndiyo watu wanalalamikia kuliko hata ya chini. Mliangalie vizuri ndani ya Serikali, namna gani ya kushirikishana"
Chanzo: Bunge
Yaani mtaala wa elimu badala ya kujadiliwa na wataalamu, ndugai anataka apelekewe yeye akaujadili na msukuma na kibajaji! kweli??najaribu kuwaza hapa, mustakabali wa elimu ukajadiliwe na form four failure, sijui nini kitatoka hapo, lakini pia sina uhakika hata kama wabunge wameelewa muktadha wa spika wao katika hili suala.
mi naona bunge liunde kamati itakayohusisha wasomi na baadhi ya wabunge (ambao pia wana exposure juu ya mifumo ya elimu)
lakini bunge likijichukulia huu mjadala lenyewe tuu, nawaza yule mbunge aliyesema magufuli aongezewe miaka hata kwa kumlazimisha atachangia nini
NDUGAI sasa amechukua nafasi ya upinzani, anaikosoa na kuishauri serikali. SWALI: Sasa ameelewa umuhimu wa nafasi ya kambi ya upinzani?Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema ipo haja ya kufungua Mjadala wa Elimu, na ndiyo maana Wabunge wamekuwa wakisema washirikishwe
Akiwa Bungeni Dodoma amemwambia Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako, "Sisi tunataka Elimu ya Tanzania tuitazame. Hayo sijui ipo Wizara gani, sisi kama Wananchi haituhusu, tunataka tuseme tunataka nini kwenye Elimu"
Ameongeza, "Tena Elimu ya Chuo Kikuu ndiyo watu wanalalamikia kuliko hata ya chini. Mliangalie vizuri ndani ya Serikali, namna gani ya kushirikishana"
Chanzo: Bunge
Utaonaje ukubwa wa box kama hujatoka nje yake?? ni wapuuzi wachache wanaoweza kukuunga mkono,Mfumo Wa Elimu Ya Tanzania Mwaka 1990- 2008 Hauna shida yeyote. Hakika Niliyofundishwa yote yananiweka Mjini.
Abrianna anafahamu na ningependa afanye Research na Kuutetea Mfumo wetu wa Elimu.
Ndugai ameanza kuwa na akili.Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema ipo haja ya kufungua Mjadala wa Elimu, na ndiyo maana Wabunge wamekuwa wakisema washirikishwe.
Akiwa Bungeni Dodoma amemwambia Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako, "Sisi tunataka Elimu ya Tanzania tuitazame. Hayo sijui ipo Wizara gani, sisi kama Wananchi haituhusu, tunataka tuseme tunataka nini kwenye Elimu"
Ameongeza, "Tena Elimu ya Chuo Kikuu ndiyo watu wanalalamikia kuliko hata ya chini. Mliangalie vizuri ndani ya Serikali, namna gani ya kushirikishana"
Chanzo: Bunge
Kwanini sio kwa kiswahili ?Fundisheni kwa kiingereza kuanzia msingi hadi chuo kikuu
Duuh we jamaa huwezi kujenga hoja kinzani bila ya takriri ya maneno makali yenye dhihaka iliyopitiliza?!!Hili lijob zuzu kweli shida ipo chuo kikuu?!! Kwa hio vyuoni wanaenda smart ila wanatoka empty? Huyu ana akili za kindezi kbsa. Hili zuzu kwa kila kitu. Utopolo msingi, olevel, alevel na baraza hawauoni akili za kizuzu kbsa.
Hili dudu linaudhi lilijifanya Mungu mtu hasa naona sasa limewehukaDuuh we jamaa huwezi kujenga hoja kinzani bila ya takriri ya maneno makali yenye dhihaka iliyopitiliza?!!