Spika Ndugai atajidanganya pakubwa kumnyooshea kidole Ulimwengu.
Aliyoyasema Ulimwengu yanawakilisha maoni ya wengi. Zanzibar inapongezwa kwa hali ya maridhiano iliyopo inayeleta kupungua kwa misuguano:
Balozi Wright atamani maridhiano ya Zanzibar yaje Bara
Kwanini Zanzibar maridhiano ni muhimu na isiwe huku bara? Kwanini sisi kupigwa changa la macho eti uchumi kwanza?
Tusimung'unye maneno. Ndugai apate kutusikia:
"Tunaosimama na Ulimwengu tujuane."
Ndugai:
"Mtu mzima hatishiwi nyau."