Ndugai: Ya Ulimwengu ni Maoni ya Wengi

Ndugai: Ya Ulimwengu ni Maoni ya Wengi

Kwenye hiyo picha Kuna supika hapo?

Angalia angalia vizuri kwa walio chuchumaa huko nyuma:

IMG_20211113_123007_128.jpg


Anaweza kuwa huko 😁😁.
 
Unabii wa Lemma unachelewa sana kutimia. Tunataka hadi 2025 virusi vyote vya yule dhalim aliyeko motoni viwe vimetoweshwa kwenye uso wa dunia

Watesi wa kina Lijenje, Ben, Azory, Lissu, Mbowe, Adamoo, Nk?

Watesi wetu?

Kwa hakika nchi ingekuwa mahali bora zaidi pa kuishi bila wao.
 
Back
Top Bottom