Ndugai anadhani waTz wote ni mazuzu kama lilivyo bunge lake.
Ndugai angekuwa mwerevu hata kwa kiwango akidogo sana, angetambua kuwa hilo bunge lake, wananchi walio wengi, wenye akili, wanaona ni upuuzi mtupo. Halina maana, halina mchango wowote, linawatia hasara wananchi. Wanalipwa bila ya kuwa na kazi yoyote yenye tija.
Ndugai parliament is double dutch.
YUKO MBIONI KUACHANA DUNIA HUYOSpika Ndugai atajidanganya pakubwa kumnyooshea kidole Ulimwengu.
Aliyoyasema Ulimwengu yanawakilisha maoni ya wengi. Zanzibar inapongezwa kwa hali ya maridhiano iliyopo inayeleta kupungua kwa misuguano:
Balozi Wright atamani maridhiano ya Zanzibar yaje Bara
Kwanini Zanzibar maridhiano ni muhimu isiwe huku bara? Kwanini sisi kupigwa changa la macho eti uchumi kwanza?
View attachment 2007760
Tusimung'unye maneno. Ndugai apate kutusikia:
"Tunaosimama na Ulimwengu tujuane."
Ndugai:
"Mtu mzima hatishiwi nyau."
YUKO MBIONI KUACHANA DUNIA HUYO
Heko Jenerali, Ndugai ameshapoteza akili zake tangu 2015.Spika Ndugai atajidanganya pakubwa kumnyooshea kidole Ulimwengu.
Aliyoyasema Ulimwengu yanawakilisha maoni ya wengi. Zanzibar inapongezwa kwa hali ya maridhiano iliyopo inayeleta kupungua kwa misuguano:
Balozi Wright atamani maridhiano ya Zanzibar yaje Bara
Kwanini Zanzibar maridhiano ni muhimu isiwe huku bara? Kwanini sisi kupigwa changa la macho eti uchumi kwanza?
View attachment 2007760
Tusimung'unye maneno. Ndugai apate kutusikia:
"Tunaosimama na Ulimwengu tujuane."
Ndugai:
"Mtu mzima hatishiwi nyau."
Heko Jenerali, Ndugai ameshapoteza akili zake tangu 2015.
Mie nasimama na mtu anaejielewa na mwenye legacy ktk jamii sio wapiga watu marungu.Tunaosimama na Ulimwengu tujuane."
Mie nasimama na mtu anaejielewa na mwenye legacy ktk jamii sio wapiga watu marungu.
Mkuu,hapa umetisha yaani ni kweli tupu.Heshima haishurutishwi. Heshima hujengwa.
Mtu huvuna alichopanda.
Ndugai huu ni muda muafaka sasa kwake kuvuma dengu alizopanda.