GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hao Watu wawili tena 'Waandamizi' kabisa wanaotumwa Kwako mara kwa mara kuja 'Kukushawishi' kuwa umuachie Namba Tatu 'agombee' hilo Jimbo na kwamba Wewe 'Utateuliwa' ama kuwa Balozi au Mbunge waambie kuwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Jimbo la Kigamboni 'itashawishi' Wana CCM wote wampigie 'Kura' Mgombea wa CHADEMA na CCM 'itaanguka' vibaya sana.
Hao Watu wawili wameshajulikana na nakuomba waambie kuwa kama Namba Tatu anataka huo Ubunge asubirie hadi 'Babaake' amteue Novemba.
Hao Watu wawili wameshajulikana na nakuomba waambie kuwa kama Namba Tatu anataka huo Ubunge asubirie hadi 'Babaake' amteue Novemba.