PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hahahaha 😂😂😂😂Jumamosi ni siku mbaya sana kwa wana CCM, hofu imewatanda katika nyoyo zao. Siku ambayo chama kinaweza kikaendelea kujikongoja au ndio siku chama kinavunjika zaidi ya 2015.
Meku huko alipo hapati usingizi, maana alivyojiachia na kulewa uongozi alijua Oktoba haitofika milele.