Ndugu Faustine Ndugulile tafadhali 'Usitusaliti' na usikubali huo 'Ushawishi' unaopewa ili Namba Tatu agombee

Hao Watu wawili tena 'Waandamizi' kabisa wanaotumwa Kwako mara kwa mara kuja 'Kukushawishi' kuwa umuachie Namba Tatu 'agombee' hilo Jimbo na kwamba Wewe 'Utateuliwa' ama kuwa Balozi au Mbunge waambie kuwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Jimbo la Kigamboni 'itashawishi' Wana CCM wote wampigie 'Kura' Mgombea wa CHADEMA na CCM 'itaanguka' vibaya sana.

Hao Watu wawili wameshajulikana na nakuomba waambie kuwa kama Namba Tatu anataka huo Ubunge asubirie hadi 'Babaake' amteue Novemba.
Acha kupotosha watu unaemzungumzia aloshika namba mbili.
 
Ikiwa Hilo litafanikiwa nataka kuwahakikishia ccm inaenda kusambaratika. Nyie subirini haya yote nijitihada zakutaka kuongezwa muda wa uwongozi
Inaweza isisambaratike ila itatulazimu kutumia nguvu kubwa na rasilimali za ziada ili kufanikiwa. Mwenyekiti wetu Mungu ampe hekima lakini uchaguzi wa mwaka huu upepo umegeuka na hapo Kigamboni wasithubutu kumkata Ndungulile.
 
Hivi jon mrema alishinda kura za maoni Ubunge segerea tuanzie hapo kwanza!!
Achana na John Mrema, Kigamboni hawamtaki huyo mpendwa wenu, jamani, mnataka wanakigamboni wajieleze ili muwaelewe?
Ni kwamba HAWAMTAKI msiwalazimishe...
 
Umejuaje kama hawamtaki?? Tatizo mmejawa chuji na makonda hamna jipya! Msilete double standards. Kama ambavyo chama chenu kimempitisha Jon mrema segerea vivyo hivyo ccm inaweza kumpitisha makonda! Acheni kupapalikia mambo ya ccm wakati yenu yanawashinda !!
 
GENTA... kafungua uzi wa Kigamboni, na wewe ungefungua wa Segerea. Kuleta habari za Mrema hapa ni kuharibu uzi wa mwenzio
 
Kama huna hoja kaa tulia! Amefungua uzi , kaandika hoja zake lazima ajibiwe!
 
Aliyeshika Namba Tatu huko Kigamboni unaambiwa 'anahangaika' kwa wana CCM, Waandamizi Serikalini hadi kwa Wajumbe Dodoma ili apite Yeye.

Ukiwa mzushi uwe nataarifa na unatunza kumbukumbu
 
Na Mama Namba Mbili 'Kikatiba' nae simwelewi kwani huyu Kijana ( Kubwa Jinga ) alikuwa 'hamuheshimu' leo anataka Kumsaidia na Kumbeba pia.
Mama dhamiri inamshtaki kwani kijana alimtabiria na kumuombea kuwa muda ukifika, Basi wampe Mama kiti cha Pili 'Kikatiba'.
 
Ikiwa Hilo litafanikiwa nataka kuwahakikishia ccm inaenda kusambaratika. Nyie subirini haya yote nijitihada zakutaka kuongezwa muda wa uwongozi
Akili zimerudi mkuu???Kwani jpm akiongezewa muda wewe itakuathiri nini?si ndio mtatu ben saanane wengi???au?
 
Hao Watu wawili tena 'Waandamizi' kabisa wanaotumwa Kwako mara kwa mara kuja 'Kukushawishi' kuwa umuachie Namba Tatu 'agombee' hilo Jimbo na kwamba Wewe 'Utateuliwa' ama kuwa Balozi au Mbunge waambie kuwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Jimbo la Kigamboni 'itashawishi' Wana CCM wote wampigie 'Kura' Mgombea wa CHADEMA na CCM 'itaanguka' vibaya sana.

Hao Watu wawili wameshajulikana na nakuomba waambie kuwa kama Namba Tatu anataka huo Ubunge asubirie hadi 'Babaake' amteue Novemba.
Mheshimiwa Ndungulile kwa jinsi ninavyomfahamu kwa miaka mingi sasa , sio mwepesi kiasi hicho !
 
Hao Watu wawili tena 'Waandamizi' kabisa wanaotumwa Kwako mara kwa mara kuja 'Kukushawishi' kuwa umuachie Namba Tatu 'agombee' hilo Jimbo na kwamba Wewe 'Utateuliwa' ama kuwa Balozi au Mbunge waambie kuwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Jimbo la Kigamboni 'itashawishi' Wana CCM wote wampigie 'Kura' Mgombea wa CHADEMA na CCM 'itaanguka' vibaya sana.

Hao Watu wawili wameshajulikana na nakuomba waambie kuwa kama Namba Tatu anataka huo Ubunge asubirie hadi 'Babaake' amteue Novemba.
Ni Mara chache sana umewahi kusema uongo. Nadhank mara ya mwisho ulikuwa na miaka 6 hivi. Kama hawatakusikia achana nao ili tukutane kwenye sanduku la kura ndo watajua wapiga kura ni zaidi ya wajumbe, labda wajiandae kupiga risasi watu wakati wa kutangaza matokeo.
 
Hujui na wala hutajua kwanini 'nimekwepesha' hivyo. Kwahiyo kwa madai yako kabisa Mwenyewe unajua kuwa GENTAMYCINE nimekosea hapo?
Gentamycine Antibiotic katika ubora wake. Tumetega masikio kujua yatokanayo na vikao huko.
 
Hao Watu wawili tena 'Waandamizi' kabisa wanaotumwa Kwako mara kwa mara kuja 'Kukushawishi' kuwa umuachie Namba Tatu 'agombee' hilo Jimbo na kwamba Wewe 'Utateuliwa' ama kuwa Balozi au Mbunge waambie kuwa Kamati ya Roho Mbaya ya CCM Jimbo la Kigamboni 'itashawishi' Wana CCM wote wampigie 'Kura' Mgombea wa CHADEMA na CCM 'itaanguka' vibaya sana.

Hao Watu wawili wameshajulikana na nakuomba waambie kuwa kama Namba Tatu anataka huo Ubunge asubirie hadi 'Babaake' amteue Novemba.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom